Shangazi ni hatarii

Shangazi ni hatarii

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,336
Screenshot_20210306_093829.jpg
 
Kam-on Kasie... usimsheuwe,usimchuze,usimdhihaki ni bora arudi kujistiri na kiutamduni... (simple hijab/ushungi/abaya nk itampendeza vilivyo)
She is free..

Kuna kitu nilitaka kuandika ila nikahofia wataosoma wasichukulie naingiza mambo ya dini....

Maisha ni kuchagua....

Kuchagua ni kuishi.....

Wazazi wake na shangazi kwenye jamii bado wanaonekana ni washika dini na wanajisetiri vizuri tuu kama wazanziberi wengine.

Huu msemo haufanyi kazi mara zote, like father/mother like son/daughter....

Sijui jinsi alivyolelewa ila yawezekana kwenda kusoma nje au shule za magharibi (wazazi wana nia nzuri mtoto aelimike na baadae aje kuishi maisha bora zaidi yao).

Ila mtoto akishawishika zaidi ya jamii zaidi ya vile wazazi mmemlea.... ndo unakuta kama shangazi hivyo.

Hii huwakuta hata watoto wa wachungaji na mapadre na hata watoto wa raia wa kawaida tuu.

Pia, kila binadamu anazaliwa na hulka yake bila kujali umemleaje na kumsisitiza aishi maisha flani. Akipata upenyo ataishi na kufanya utashi aliozaliwa nao.

Niwie radhi kama nimekukwaza, nimesema vibaya dini nyingine au nimeonekana nimedhihaki.

Saa ingine huwa nashindwa kuelezea kilicho moyoni na akilini. Nnapokosa maneno ya kuandika nabaki kuhofia watanielewa nilichomaanisha.

Anyway, am outa here, narudi kwenye nyuzi zenye mahaba.

Cheers 🥂.
 
shangazi wa muungano... hakika ni mzuri
english figure ya aina yake 😍😍😍
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Listen.. khofu zako ntolee mie... utajuwa umeokota gold..
 
Back
Top Bottom