Shangazi ni hatarii

Shangazi ni hatarii

Mpaka leo huwa naumia utafikiri ni mimi. Kwanini hasa Serikali iliamua kupambana naye bila sababu mpaka kumvua UWAKILI.

Kuna mijitu ni katili sana nchi hii,l.
Kuna vitu ni vigumu sana kuvielewa unakuta anazaliwa kwa usimamiz wa mamlaka analelewa na mamlaka anasomeshwa na mamlaka coz weki,asaiment,gpa na matokeo yanasimamiwa na mamlaka fildi mafunzo kwa vitendo chini ya mamlaka likizo akitaka kwenda USA au Canada mamlaka hadhi inayokufanya watu wakusikilize imechagizwa na hadhi yako ya mwanafamilia wa mamlaka alafu baadae unaikandia mamlaka,acha apumzishwe wamemfanyia mengi sana.
 
Kuna kitu nilitaka kuandika ila nikahofia wataosoma wasichukulie naingiza mambo ya dini....

Maisha ni kuchagua....

Kuchagua ni kuishi.....

Wazazi wake na shangazi kwenye jamii bado wanaonekana ni washika dini na wanajisetiri vizuri tuu kama wazanziberi wengine.

Huu msemo haufanyi kazi mara zote, like father/mother like son/daughter....

Sijui jinsi alivyolelewa ila yawezekana kwenda kusoma nje au shule za magharibi (wazazi wana nia nzuri mtoto aelimike na baadae aje kuishi maisha bora zaidi yao).

Ila mtoto akishawishika zaidi ya jamii zaidi ya vile wazazi mmemlea.... ndo unakuta kama shangazi hivyo.

Hii huwakuta hata watoto wa wachungaji na mapadre na hata watoto wa raia wa kawaida tuu.

Pia, kila binadamu anazaliwa na hulka yake bila kujali umemleaje na kumsisitiza aishi maisha flani. Akipata upenyo ataishi na kufanya utashi aliozaliwa nao.

Niwie radhi kama nimekukwaza, nimesema vibaya dini nyingine au nimeonekana nimedhihaki.

Saa ingine huwa nashindwa kuelezea kilicho moyoni na akilini. Nnapokosa maneno ya kuandika nabaki kuhofia watanielewa nilichomaanisha.

Anyway, am outa here, narudi kwenye nyuzi zenye mahaba.

Cheers [emoji1635].
Hapo kwenye hulka anayozaliwa nayo binadamu nimependa hiyo dhana ila sijaelewa
Mie nkijua kuwa hulka hujengwa na jamii imzungukayo mhusika kumbe huzaliwa nayooo
So wapo ambao from the born time wanakuwa na hulka njema basi huenda ikaharibiwa na mazingira
Somo zuri
Thanks in advance

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Wacha nienende kwa mfano.

Baba na mama wamezaa watoto 5, baba ni daktari na mama ni mwalimu. Wamesomesha watoto wao hadi chuo kuelekea nyanja kama zao ili hata kama hawatakuwa madaktari au walimu basi wengine wawe injinia au pailoti au hata mkufunzi wa chuo n.k.

Hii ni mipango ya wazazi bila kujali watoto wao wamezaliwa na hulka gani. Mmoja kati ya watoto 5 anawasumbua sana kumlea, maana hatilii mkazo masomo japo anafanya vizuri shuleni sababu mtoto anapenda kucheza mpira wa miguu na anausakata kibumbu vyema.

Matokeo yake huyu mtoto akipelekwa chuo nje ya nchi au hata akimaliza chuo akaanza maisha yake, anarudia kuwekeza nguvu akili na muda wake kwenye kile kitu kilichoujaza moyo wake bila kujali wazazi wake wamewekeza kiasi gani awe mtu mwingine.

Hulka = tabia aliyozaliwa nayo mtu.

Ile ya kubadilishwa na jamii huwa na mpito akiondoka kwenye ile jamii hiyo tabia huisha.
 
Daaah mambo ya kumtamani shangaz hadi nani inacmama
 
Hongera kwake shangazi fatma kwa kupiga teke utamaduni wa dini wenye kuminya uhuru wake wa kuchagua mavazi apendayo na anayoona yatampendeza. Huyu ni mwanamke jasiri sana.

Back
Top Bottom