Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,777
Ila imeeleweka mkuu. Maana kwenye uandishi hata kiswahili chetu wenyewe wengine hukosea.shikamoo inglishi😉 ndo maana anko Magu haipendi hii lugha.
Ila imeeleweka mkuu. Maana kwenye uandishi hata kiswahili chetu wenyewe wengine hukosea.shikamoo inglishi😉 ndo maana anko Magu haipendi hii lugha.
Ubinafsi na roho mbaya ndio chanzo cha yote hayoMpaka leo huwa naumia utafikiri ni mimi. Kwanini hasa Serikali iliamua kupambana naye bila sababu mpaka kumvua UWAKILI.
Kuna mijitu ni katili sana nchi hii,l.
Halafu watu wenye akili wote hawatakiwi.Ubinafsi na roho mbaya ndio chanzo cha yote hayo
Listen.. khofu zako ntolee mie... utajuwa umeokota gold..
Yuko kwenye 50 huko anakimbiza 60 ila ndio kama hivyo tena ng'ombe azeeki mainiMtoto mbichi kabisa huyu. Kuna watu wanafaidi sana sheikh
Yuko vizuri kuliko vibinti vyetu vya Masaki. Ukimuangalia utadhani umri wa JokateYuko kwenye 50 huko anakimbiza 60 ila ndio ng'ombe azeeki maini
Mpaka leo huwa naumia utafikiri ni mimi. Kwanini hasa Serikali iliamua kupambana naye bila sababu mpaka kumvua UWAKILI.
Kuna mijitu ni katili sana nchi hii,l.
Rabi akupe nini tena...Yaraaabiiii.....!😳😳
Rabi akupe nini tena...
SAMAHANI.MKUU SAMAANI, HATAR IPI HAPO
wapo wengi wasiovaa ushungi,ila huyu naskia kachagua njia ya kweli na uzima kwa kristo YESU mfalme.Mzanziberi asiyevaa ushungi.
Ujasiri ni kujipenda vile ulivyo.
Mapendo tele kwa shangazi.
Hapa inaonekana unachukia wavaa ushungiMzanziberi asiyevaa ushungi.
Ujasiri ni kujipenda vile ulivyo.
Mapendo tele kwa shangazi.
Allahuma Ameen ya Rabi al-AlameenKherii, subra na utulivu = amani 🙏.
Nimezipenda raba zake