Baada ya kauli ya Vyama vya siasa sio chochote sio lolote mbele ya Tanzania huko Igunga.
Namkumbuka Shamsi Vuai Nahodha aliekuwa waziri kiongozi wa SMZ ,mwanachama mkereketwa wa CCM kwa miaka 10.
Zanzibar ilkuwa na vurugu, machafuko . Yeye akiwa ndio mtendaji Mkuu wa Serekali ya CC
Makundi ya Janjaweed yakitembeza mkongoto kila kona,
mabomu ya kupangwa ambayo hata kuku hakufa.
Ukandamizaji wa Polisi kwa vyama vya siasa huko zanzibar vilishika kasi.
lkn sasa nasikia kauli safi za ndugu Nahodha aliekabidhiwa jeshi la usalama.
Jee kiongozi huu kazaliwa Upya au ni kwa ajili ya 2015?