Shamsi nahodha amezaliwa upya?au 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamsi nahodha amezaliwa upya?au 2015?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Sep 30, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Baada ya kauli ya Vyama vya siasa sio chochote sio lolote mbele ya Tanzania huko Igunga.

  Namkumbuka Shamsi Vuai Nahodha aliekuwa waziri kiongozi wa SMZ ,mwanachama mkereketwa wa CCM kwa miaka 10.
  Zanzibar ilkuwa na vurugu, machafuko . Yeye akiwa ndio mtendaji Mkuu wa Serekali ya CC
  Makundi ya Janjaweed yakitembeza mkongoto kila kona,
  mabomu ya kupangwa ambayo hata kuku hakufa.
  Ukandamizaji wa Polisi kwa vyama vya siasa huko zanzibar vilishika kasi.
  lkn sasa nasikia kauli safi za ndugu Nahodha aliekabidhiwa jeshi la usalama.
  Jee kiongozi huu kazaliwa Upya au ni kwa ajili ya 2015?
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  urais wa tanzania 2015 lazima ujikombe kombe-- ha ha ha
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,631
  Trophy Points: 280
  This Man is among the few that CCM has and can trust.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Amekwenda igunga kuiongezea nguvu timu ya kampeni ya magamba kwa kisingizio cha kujihakikishia hali ya usalama.

  Hali ya wanamagamba ni ngumu sana pamoja na kutumia makada wengti sana na viongozi mbalimbali wa serikali. Kila wanayedhani kwamba anaweza akawasaidia kuongeza kura japo moja tu wanamuita igunga.

  Wassira na ester bulaya wameshindwa kwenda bunda kuwapa pole ama msaada wapiga kura wao waliokumbwa na maafa ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko. Wanathamini kampeni za chama kuliko maisha ya wapiga kura wao.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kama watanzania wanamuamini? kuaminiwa na ccm ni obvious!
   
 6. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,303
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  usiwe na mawazo ya 2015 tunasubiri jimbo lingine muda si mrefu kaka hiyo2015 mbali sana
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Changes is innevitable, also we learn from what we did not what we intend to do.
   
Loading...