The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 305
kishongo, najua haiukuumi watanganyika kufa,bali inakuuma mafisadi kupoteza mali zao.POLE
Kichogo unajua historia ya ccm???kumbe ndo umebalehe juzijuzi kwenye siasa??ths is just a beggining, polisi tz wapo. 30000,sasa 2kilianzisha watahimili????
Sasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.
Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.
Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.
Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.
Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.
Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.
Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.
Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.
Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.
Mzimu wa Chadema utawatesa sana CCM mashabiki wake humu wanadhihirisha kiwewe kilichoko huko ndani ya CCM hawalali, Chadema imeandaa jibu lenu jingine zuri sana wapelekee wanaokutuma, somaSasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.
Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.
Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.
Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.
Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.
Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.
Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.
Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.
Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.
Kishongo kama lilivyo jina lako nadhani ubongo wako una matege,walimu wako walishindwa kukurekebisha.Ila cha kufanya ni kuwa muwazi ukaomba msaada great thinker wakakusaidia kukuelewesha,wewe na wabovu wenzako waliojiingiza humu plus Kamba.
Habari za siku msalimie mbunge wako.Heshima kwako Kishongo,
Wapo waliopigwa risasi eneo la kanisa katoliki Mt Theresia.
sasa mashabiki wa chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya arusha.
Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.
Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.
Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la wachagga wachache zitimizwe.
Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka hoteli ya kifahari ya mt meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.
Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.
Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.
Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.
Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa chadema.
Kwa nini Chadema inatunyima usingizi? mshauri Tendwa aifute ibaki CUF na CCM.That is nonsense.
Sitaki kuwa brainwashed kama ninyi.
You calling yourself a Great thinker? kauze maandazi, there is where you fit.
una mtindio wa ubongo......Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.
Zitto akiwa Mwanza kusimamia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Mwanza ambapo Chadema waliibuka kidedea alitoa tamko la kulaani maauaji na kuamuri viongozi waachiwe haraka,Mtakie heri Arfi yuko India anaugua,Kama mulitaka kumtumia Zitto mumechelewa alishamka zamani anajenga chama chake sasa na kazi yake kuu ni meneja Operesheni Sangara Mzee wa Kazi mtamkoma mwaka huuUkitaka kujuwa kuwa hili la Arusha haliungwi mkono na viongozi wote wa Chadema, sijamsikiapo Zitto akisema chochote kuhusu hili, wala Arfi? vipi hawa mabingwa wa Chadema hawajaona hili kuwa ni tatizo la chadema?
Sasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.
Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.
Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.
Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.
Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.
Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.
Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.
Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.
Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.
Zitto akiwa Mwanza kusimamia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Mwanza ambapo Chadema waliibuka kidedea alitoa tamko la kulaani maauaji na kuamuri viongozi waachiwe haraka,Mtakie heri Arfi yuko India anaugua,Kama mulitaka kumtumia Zitto mumechelewa alishamka zamani anajenga chama chake sasa na kazi yake kuu ni meneja Operesheni Sangara Mzee wa Kazi mtamkoma mwaka huu
mkuu ukiondoka ccm saizi unakuwa hujavuna cha kutosha huu ndo mda wakuvuna ccm si unajua tupo kwenye mpito na mkuu amelala.
Kwa jinsi hayo meno yako yalivyo je tutegemee nini wakati unaongea?
kisicho riziki hakiliki, haya ndo maoni yangu kwani kiti cha ubunge arusha si halali yake, ndo maana kinamtesa hivi , sasa sabodi ametoa rambirabi milioni kumi iweje lema aingie radion kuomba michango ya wananchi kama sio utapeli , na je hizo fedha zitawafikia walengwa?, jamani msisikie yoyote atakae madaraka ni kwa ajili ya maslahi binafsi hatokei hata mmoja mwenye nia halisi ya kubadilisha maisha yetu, mfano mbona wasichangie kutokana na mishahara minono ya ubunge kuliko kuomba maredioni. na walikuwa mbele kulaani mishahara hiyo na magari ya kifahari mbona wamechukua tena jamani tatz tujali amani amani amani na tutumie njia nzuri kuipata haki kuliko kutumia nguvu kupata.
mimi sijaona mwafrica kiongozi hata mmoja miaka hii mzalendo wa kweli , yyt aingiae madarakani kazi ndo hiyo hiyo hakuna labda botswana ndo viongozi wanaendeleza na kujali wananchi wao lakini hapa kwetu wote wa ccm na chadema hakuna kitu ulafi, uvivu ndo umetawala.
Profesa lipumba namfahamu personaly si mtu mwenye tamaa ya mali hata tone kwa hilo labda angetufaa yeye lakini kwa mengioneo sijui kama atatuendeleza kutondolea taabu hizi za kupanda bei wakati kipato kinazidi kushuka thamani.
Hivi kwani chadema haiwezi kufutwa, jk plz tuifute chadema tubaki ccm tuuu.