Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

kishongo, najua haiukuumi watanganyika kufa,bali inakuuma mafisadi kupoteza mali zao.POLE
 
Kichogo unajua historia ya ccm???kumbe ndo umebalehe juzijuzi kwenye siasa??ths is just a beggining, polisi tz wapo. 30000,sasa 2kilianzisha watahimili????

Na ccm wapo milioni 4. Wakijibu kitabaki kitu?
Unafikiri kimabavu bila kujua kuwa unajiumiza mwenyewe.

Vamieni tena vituo vya polisi muone, tutaingia mitaani kuwapa tafu polisi. Hapo ndio kitaeleweka.
 
Kisongo,
Pole sana ndugu yangu. Kwa taarifa yako wale wote waliouwawa hawakuwepo karibu na kituo cha polisi. Yule Mkenja alikuwa mitaa ya Kaloleni karibu ya nyumba za Soweto pale Arusha, ni mbali kabisa na kituo. Mwingine alikuwa katika biashara zake pale Jogoo House karibu na stand kuu ya basi. Je sehemu hizo ni kituo cha polisi. Je mke wa Dr Slaa aliyepigwa na kuumizwa pale njia panda ya Ilboru nako walikuwa wanavamia kituo?

Sisi hatuwaelewi kabisa, kuweni wawazi zaidi. Kama kuna watu waliuwawa karibu na kituo cha polisi basi ni wengine na siyo hao watatu waliotajwa. Sasa mtuambie watu waliouwawa karibu na kituo cha polisi maiti zao ziko wapi? Kuna tetesi nilizipata (hata BBC walitangaza ktk website) kuwa watu kumi (10) ndiyo waliofariki. Kwa nini mnaficha na kusema ni watatu? Kama BBC ni waongo, mbona hamuwapeleki mahakamani kwa kutangaza uongo? Nuiliambiwa kuna maiti usiku uleule zilihamishwa na kupelekwa Moshi, je hii ni kweli?

Wasiwasi ni mkubwa zaidi ya jinsi mnavyofikiria. Kila mtu kwa Imani yake aiombee sana nchi yetu, tunakoenda ni kubaya nasi hatutaki kufika huko. Katiba mpya itatusaidia mambo haya yasijirudie tena.
 
Sasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.

Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.

Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.

Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.

Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.

Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.

Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.

Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.

Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.

Mbunge asiyechaguliwa bana..lol..na mtaweweseka sana mwaka huu.
 
Mzimu wa Chadema utawatesa sana CCM mashabiki wake humu wanadhihirisha kiwewe kilichoko huko ndani ya CCM hawalali, Chadema imeandaa jibu lenu jingine zuri sana wapelekee wanaokutuma, soma

Sasa CHADEMA kuandamana DAR Friday, 14 January 2011 10:01 * Ni iwapo Kikwete atakaa kimya
Na Waandishi Wetu, jijini

BAADA ya Jeshi la Polisi jana kueleza mkasa mzima wa tukio la mauaji na urushaji wa mabomu lililotokea Jijini Arusha na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa, vijana wa Chama Cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) wamewataka viongozi wote wa Serikali wa ngazi za juu kujiuzulu kutokana na mauaji hayo waliyodai kuwa ni ya kukusudia.

Wakizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho, wamesema endapo viongozi hao wataendelea kukaa kimya bila kutoa tamko lolote, basi watafanya maandamano yasiyokuwa na kikomo.

Katibu wa vijana wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam, Renatus Mlachani, amesema kutokea kwa vurugu hizo na polisi kukiri kuua ni dhahiri inaonesha kuwa wanapaswa kujiuzulu haraka.

Amesema vurugu hizo zimesababishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema.

Wamesema IGP Mwema ndiye chanzo cha vurugu hizo kutokana na kupishana kwa kauli kati yake na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye.

Katibu huyo amesema mbali na viongozi hao kujiuzulu, pia Rais Jakaya Kikwete anatakiwa kutoa tamko haraka kuhusu mauaji hayo yaliyofanywa na jeshi hilo.

“Tunamtaka Rais Kikwete atoe kauli kuhusu mauaji haya haraka, vinginevyo tutaandaa maandamano yasiyokuwa na kikomo,” amesema katibu huyo.

Umoja huo umewalaani baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuunga mkono mauaji yaliyotokea Arusha.

“Kwa kweli tumesikitishwa na kauli za viongozi wa CCM waliounga mkono mauaji hayo, hivyo tunawalaani,” amesema.

Januari 5, mwaka huu mkoani Arusha kulitokea vurugu zilizotokana na Polisi kuzuia maandamano ya CHADEMA na kusababisha watu watatu kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
 
Kishongo kama lilivyo jina lako nadhani ubongo wako una matege,walimu wako walishindwa kukurekebisha.Ila cha kufanya ni kuwa muwazi ukaomba msaada great thinker wakakusaidia kukuelewesha,wewe na wabovu wenzako waliojiingiza humu plus Kamba.

That is nonsense.

Sitaki kuwa brainwashed kama ninyi.

You calling yourself a Great thinker? kauze maandazi, there is where you fit.
 
sasa mashabiki wa chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya arusha.

Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.

Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.

Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la wachagga wachache zitimizwe.

Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka hoteli ya kifahari ya mt meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.

Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.

Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.

Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.

Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa chadema.

tabia yako haina tofauti na mbwa wa kufugwa
 
That is nonsense.

Sitaki kuwa brainwashed kama ninyi.

You calling yourself a Great thinker? kauze maandazi, there is where you fit.
Kwa nini Chadema inatunyima usingizi? mshauri Tendwa aifute ibaki CUF na CCM.
 
Ukitaka kujuwa kuwa hili la Arusha haliungwi mkono na viongozi wote wa Chadema, sijamsikiapo Zitto akisema chochote kuhusu hili, wala Arfi? vipi hawa mabingwa wa Chadema hawajaona hili kuwa ni tatizo la chadema?
 
Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.
una mtindio wa ubongo......
 
Ukitaka kujuwa kuwa hili la Arusha haliungwi mkono na viongozi wote wa Chadema, sijamsikiapo Zitto akisema chochote kuhusu hili, wala Arfi? vipi hawa mabingwa wa Chadema hawajaona hili kuwa ni tatizo la chadema?
Zitto akiwa Mwanza kusimamia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Mwanza ambapo Chadema waliibuka kidedea alitoa tamko la kulaani maauaji na kuamuri viongozi waachiwe haraka,Mtakie heri Arfi yuko India anaugua,Kama mulitaka kumtumia Zitto mumechelewa alishamka zamani anajenga chama chake sasa na kazi yake kuu ni meneja Operesheni Sangara Mzee wa Kazi mtamkoma mwaka huu
 
Sasa mashabiki wa Chadema wamejua kuwa ni hatari kuvamia kituo cha polisi kama walivyofanya Arusha.

Wamejua kuwa kituo kama kile kitalindwa kwa njia yeyote hata ikibidi watu kufa, wafe.

Haiwezekani kuachia silaha nyingi na nyaraka nyeti zilizoko kwenye kituo kama kile zikaangukia mikononi mwa wahuni na waovu. Pia ni hatari kwa raia wote iwapo wahalifu waliokuwa wanashikiliwa pale wangetoroka.

Sasa wamejua kuwa wanatumiwa na viongozi wa chama chao kwa lengo la kujinufaisha kisiasa kwa gharama yeyote....Hata ikibidi watu wafe ili tamaa za kisiasa na za kibiashara za kundi hili la Wachagga wachache zitimizwe.

Bado wana kumbukumbu jinsi walivyochochewa na kuona wenzao wakifa kijinga na wengine kujeruhiwa vibaya na baadaye viongozi waliowachochea wakajipeleka Hoteli ya kifahari ya Mt Meru kusherehekea maovu yao. Bahati nzuri walikamatwa na kulazwa wanakostahili.

Wameona jinsi miili ya waliouawa ilivyotumika kisiasa na kinyume cha imani zao.

Wameona jinsi viongozi wa chama chao walivyokuwa wakilia na kuomboleza kisanii.

Wameona kejeli ya chama chao kwa ndugu za marehemu walivyoambulia rambirambi ya shs laki tano zilizotolewa kwa mbwembwe nyiingi za kichama.

Kamwe hatutawasamehe kwa hili. Na sasa basi. Kila mtu amepata uelewa. Ni wajinga tu ndio watakubali kuendelea kutolewa kafara na wanasiasa uchwara wa Chadema.

wewe kishongo unatumiwa na mapepo sio akili zako ndio maana lazima ulete controvensial mada, nakuombea inshalah! Upone matatizo yako.
 
Zitto akiwa Mwanza kusimamia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Mwanza ambapo Chadema waliibuka kidedea alitoa tamko la kulaani maauaji na kuamuri viongozi waachiwe haraka,Mtakie heri Arfi yuko India anaugua,Kama mulitaka kumtumia Zitto mumechelewa alishamka zamani anajenga chama chake sasa na kazi yake kuu ni meneja Operesheni Sangara Mzee wa Kazi mtamkoma mwaka huu

Huyo kijana wetu hana tatizo, Mzee Arfi tunamuombea Allah ampe afya njema.
 
mkuu ukiondoka ccm saizi unakuwa hujavuna cha kutosha huu ndo mda wakuvuna ccm si unajua tupo kwenye mpito na mkuu amelala.

Ila kweli,ngoja niangalie cha kuondoka nacho huku,hakufai tena na inabidi nikiondoka niwe niameacha ufa wa maana
 
Ndio tunakwambia porojo za zamani Zitto kisha waacha solemba ebu tueleze umemuuliza mzee wa makafara kwanini NBC sasa hivi inaungua,Mzee wa MAJINI KIKWETE ha ha ha mwaka Huu sijui atajificha wapi balaa juu ya balaa uporaji wa haki za wananchi mmh
 
kisicho riziki hakiliki, haya ndo maoni yangu kwani kiti cha ubunge arusha si halali yake, ndo maana kinamtesa hivi , sasa sabodi ametoa rambirabi milioni kumi iweje lema aingie radion kuomba michango ya wananchi kama sio utapeli , na je hizo fedha zitawafikia walengwa?, jamani msisikie yoyote atakae madaraka ni kwa ajili ya maslahi binafsi hatokei hata mmoja mwenye nia halisi ya kubadilisha maisha yetu, mfano mbona wasichangie kutokana na mishahara minono ya ubunge kuliko kuomba maredioni. na walikuwa mbele kulaani mishahara hiyo na magari ya kifahari mbona wamechukua tena jamani tatz tujali amani amani amani na tutumie njia nzuri kuipata haki kuliko kutumia nguvu kupata.

mimi sijaona mwafrica kiongozi hata mmoja miaka hii mzalendo wa kweli , yyt aingiae madarakani kazi ndo hiyo hiyo hakuna labda botswana ndo viongozi wanaendeleza na kujali wananchi wao lakini hapa kwetu wote wa ccm na chadema hakuna kitu ulafi, uvivu ndo umetawala.

Profesa lipumba namfahamu personaly si mtu mwenye tamaa ya mali hata tone kwa hilo labda angetufaa yeye lakini kwa mengioneo sijui kama atatuendeleza kutondolea taabu hizi za kupanda bei wakati kipato kinazidi kushuka thamani.

Mheshimiwa wewe ulitaka rambi rambi itolewe kiasi gani?
au kwako mil.10 ni dunia nzima?
Au wivu tayari ?
Usije wavamia tu maskini wajane wa watu
 
Hivi kwani chadema haiwezi kufutwa, jk plz tuifute chadema tubaki ccm tuuu.

Unaaibisha chama henge kwani jk ndo msajili wa vyama,ngoja nimwambie hela zinaungua saivi sijui atatimiza vipi ahadi maskini
 
Back
Top Bottom