MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Yani nyie jamaa lisu kawaroga sio bure,kila maelezo atakayotoa mnataka myafanye msaafu.Aisee sasa wewe kweli ndo hujaelewa kasome article ya lissu ya leo kuna risasi zilimpata lakin hazikuleta madhara makubwa maana yake kama zilimchubua tu.ila ilimkita hazikuharibu nyama.ndizo 16 zingine zilimgusa sehem nyeti zaidi.