Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

akili inapohama polepole toka kichwani kwenda tumboni madhara ni makubwa na wala siyo polepole.
 
Kwa hiyo Lissu alijipiga Risasi?Very stupid argument.Subirini Lissu akirudi atarudi na dereva wake hayo mengine mnajishuku tu?Hata Imran Kombe mlisema mlidhani jambazi baada ya Mkewe kukomaa ndipo mkajidai kwamba Polisi walimfananisha.Ukiwa mwanachama wa Chama Cha Mauaji lazime uwe unaweweseka kila unaposikia Lissu.Poleni sana.
Mkuu chadema au lisu au dereva wake ahusiki?
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
Hapa ndio pa kuanzia
 
Very stupid argument,ndiyo sababu vifo vyote vinavyotokea na havipewi uzito unaostahili inasukumiziwa Serikali wakati wahusika wakuu wanajulikana.

Hakuna kesi iliyoisha ikaleta matumaini kwa wahanga,Mauaji ya Dr.Mvungi mpaka leo hakuna kilichojulikana,Mawazo Alphonce ni yale yale na bado mnajitutumua kusema ati Dereva acheni upumbavu sote tunatakiwa kuitaka taasisi inayohusika kufanya kazi yake na si kurukaruka kama maharage yanayochemka.

Mnadhani kuutetea uovu ni sifa ila kuna siku mtajutia haya,maana kwenye hili kama watanzania tulitakiwa tuwe wamoja ili tutokomeze haya mauaji yanayoletwa na watu wasiojulikana ,hili kabila la watu wasiojulikana halipaswi kuendelea kuishi.

Ila Muda ndiyo msema kweli,yatakapowakuta mtajua wapi wasiojulikana wanaishi.Hata Imran Kombe aliuawa na watuwasiojulikana.Anyway poleni
Wewe ndo una argue poorly. Sifikiri hata kama umesoma critical thinking. Uwezo wako ni mdogo sana.Shuhuda namba moja ni dereva sio camera wala walinzi.Hata kama hao watahojiwa vipi lkn bado polisi haiwezi hitimisha uchunguzi bila shahidi namba moja kuhojiwa.Hao wengine ni aids za uchunguzi tu na hutumika ku reinforce ushahidi wa shahidi namba moja.huko ufipa aliyewaroga cjui nani kiasi kuwa vipofu msione umuhim wa shahidi namba moja kuhojiwa.Camera na vitu vingine vinaweza forged tu,lkn kama dereva atatoa yake mwenyewe ni rahisi sana.
 
Si atokee mafichoni kuua mzizi wa fitina? Anajificha mpaka lini, unajua ushabiki ni ugonjwa mbaya sana! Ivi dereva huyo angekuwa ni mtu ambaye hakuwa anamwendesha Lisu angefichwa kweli?

Mbona dereva wa Marehemu cha cha wangwe alishikiliwa hakukimbizwa na mbowe? Jamani dereva rudi upambane na mkono wa Sheria wewe ni mtu muhimu kuhojiwa ni kawaida sana usihofu
 
CCM kihalali hawawezi kushinda Siha na Kinondoni. Ni kwa zengwe tu ndiyo huenda wakashinda
 
Kumbe polepole karogwa na ccm yenyewe poke sana maskini polepole ndo yule kweli
 
Bado anatibiwa saikolojia! 🙂
Muulize mwenyekiti wako wa maisha bwana Mbowe atakupa majibu ya matibabu ya saikolojia ya dereva! Huenda bado printout ya majibu haijatoka
Wewe unakumbuka shambulio la rpc mwenza,ngoja ipigwe mwenyekiti wa ccm kata ,wakavyopiga kelele .ww na polepole mmerogwa na njaa
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
ndiyo muhisika mkuu,c kuna kipindi alipigwa makofi hom kwake. Hakomi tu chakubanga wa ccm
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.

Polepole kuwa danganya watanzania wa leo si rahisi sana tena. Kwanini msiulizwe nyie kwa nini uchunguzi huru au wenye usaidizi tokea kwa wabobezi nje ya nchi hamuutaki?
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Huwa nawashangaa CCM na propaganda zao uchwara.

Kama kweli CDM na Mbowe wanaweza kumzuia serikali isifanye kazi yake .... mbona huwa wanashindwa kuzuia magoli ya mkono!!!?
 
yaani ukipata uteuzi unajiona wewe tu ndo mwenye akili kuliko wote, sasa kama hivyo ndivyo ilvyo si ingekuwa ndio nafasi yenyewe ya kuwaumbua Chadema kwa gharama ndogo tu
 
Hivi hakukuwa na mwanamme mwenye 0.45 yenye ukimya akamwondoa hapo jukwaani kimya kimya?!!!! Watu wa Siha mnawezaje kufanywa mazuzu na huyu 'kimelanzoka'
 
Ila Chadema walicheza kama Pele kuondoka na yule dereva,maana naona CCM imewauma kama nini wamekosa wa kumbambikia kesi.
Cha pili,kumpeleka Lissu Nairobi yani pale ni Le akili kubwaz ilitumika bila hivyo Leo tungekua tunaongea mengine.
 
Aisee polepole ndo anazungumza upupu huu...
Yani intelijensia ya polisi inafanya kazi na walionusurika tu?!!,.
Nawaza kwa sauti ...hivi Tundu Lissu angekatishwa uhai kuna uchunguzi wowote ungeendelea kweli?!
Halafu polepole ana uhusiano gani na polisi? Maana kusema hivyo ina maana anajua bila Dereva hawawezi kuwatambua watu wasiojulikana..
Dah ni aibu kwa nchi yetu ..
Utafit unaonyesha jeshi letu linaongoza kwa IQ ndogo barani Africa
 
Hajafa sasa lzm ahojiwe
Tumia kichwa kufikiri wewe mnyama usiye na jina! Ulishawahi kuona risasi 30+ zikipishana juu ya mwili wako kama cheche za moto ma baadaye ukajikagia na kuona hakuna hata moja iliyoingia mwilini mwako laki jirani yako kuna nduguyo anaugulia na kugugumia kwa maumivu? Unaijua trauma wewe?

Hujawahi kuponywa kwa muujiza hivyo ni lazima ufanye masihara na walioponywa.
Na ni kwanini mumtafute mtu aliyejificha mvunguni mwa gari na muwaache waliokuwa sebuleni na getini wakishangaa na kufungua mageti?

Na kwanini hamsemi kilichoonekana kwenye zile kamera? Angalau basi muwe mmeanza na wale waliokuwa getini ili kumvuta aliyejificha aje aeleze na kupanyoosha patakapopindwa na hao wa awali!

Lakini mnajing'ang'aniza kwa dereva tu as if yeye alikuwa anamminia Lissu risasi huku akiendesha gari! Polepole huenda anajua uhisika wa dereva. Basi atuambie!
 
Tumia kichwa kufikiri wewe mnyama usiye na jina! Ulishawahi kuona risasi 30+ zikipishana juu ya mwili wako kama cheche za moto ma baadaye ukajikagia na kuona hakuna hata moja iliyoingia mwilini mwako laki jirani yako kuna nduguyo anaugulia na kugugumia kwa maumivu? Unaijua trauma wewe?
Hujawahi kuponywa kwa muujiza hivyo ni lazima ufanye masihara na walioponywa.
Na ni kwanini mumtafute mtu aliyejificha mvunguni mwa gari na muwaache waliokuwa sebuleni na getini wakishangaa na kufungua mageti? Na kwanini hamsemi kilichoonekana kwenye zile kamera? Angalau basi muwe mmeanza na wale waliokuwa getini ili kumvuta aliyejificha aje aeleze na kupanyoosha patakapopindwa na hao wa awali! Lakini mnajing'ang'aniza kwa dereva tu as if yeye alikuwa anamminia Lissu risasi huku akiendesha gari! Polepole huenda anajua uhisika wa dereva. Basi atuambie!
Dereva wa lisu ,wafungua mageti , cctv wote ni shahidi muhimu lazima wahojiwe
 
embu mpelekeni kwanza huyo dereva halafu tuhoji hayo mengine,maana hata dereva nae ni sehemu ye upelelezi....
tuanze na kinachojulikana kwanza.. wakuuu
 
Back
Top Bottom