Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Mapenzi huyu asitutoneshe vidonda
 
Kwanini asiletwe kuhojiwa ili tuwaone polisi watafanikiwa kuwapata wasiojulikana ama la badala ya kuendelea kumficha?
 
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
Kwanini yatolewe mashart badala ya kumleta tu?
 
Kwani Askari wa FFU waliokuwa lindoni Area D siku ya tukio, wakaruhusu gari litoke la washambuliaji litoke getini licha ya kusikia milio ya risasi nyingi wamehijwa?

Kwani rekodi CCTV camera zilizoko kwenye jengo hilo zimeshapelekwa polisi kwa uchunguzi?
Kwahiyo haletwi mpk askari wengine wakamatwe?
 
hivi hakuna yeyote katika zile apartment aliye shuhudia hili tukio na kuchukua kapicha au video ya shambulio na kupost ili nguvu ya umma ifanyekazi...
Hii inahusiana nini ni kumleta dereva?
 
Kwa kesi yoyote mtuhumiwa wa KWANZA ni mlinzi,mpaka leo wameitwa walinzi wa jengo husika?Hivi Polepole anavyoropoka kwa Polisi inayojiamini na kusimamia sheria na taratibu za kipolisi angekuwa chini ya ulinzi kwa ajili ya kutoa ushahidi wa anachokijua,ukiona kimya ujue ni upumbavu tu unaosemwa lakini hata yeye moyoni mwake anajua anachokiongea hakipo.

Cha msingi acheni kuua raia wasio na hatia
Kwahiyo mpk mlinzi akamatwe ndio aletwe dereva? Kwani akihojiwa dereva ya walinzi kuna tatizo gani?
 
kama dereva mmemficha mnashindwaje kuiba kamera za cctv
jibun swali aliyeshambuliwa tunamwona kwenye tv lakin dereva yupo wapi yeye ndio shahidi wa pekee
Acha ujinga wa sheria wewe shahidi wa kwanza ni Tundu Lisu na sio dereva. Mkamhoji Tundu kwanza
 
Wameshahojiwa au kuna utaratibu wa ni lazima aanze dereva? Huenda nikawa sahihi kwasababu hakuna aliyehojiwa hadi sasa!
Kwanini dereva ambaye ni key witness wa tukio anawekewa mashart mengi kabla ya kuletwa kuhojiwa?
 
Huyu jamaa anakuwa kwenye rika la vijana au wazee anaongea hovyohovyo km ilivyo sura yake
 
CCM kihalali hawawezi kushinda Siha na Kinondoni. Ni kwa zengwe tu ndiyo huenda wakashinda
Kwani ni jambo la ajabu kushinda kwa zengwe? Nashangaa upinzani unajua kuwa ccm always wanashinda kwa kujitangaza kwa msaada wa polisi lkn kwanini wakishindwa wanalalamikia kitu wanachojua kingetokea?
 
Back
Top Bottom