Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,753
- 863,629
Leo yamemkuta. Malipo ni hapa duniani.
Leo yamemkuta. Malipo ni hapa duniani.
Muosha huoshwa![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Walipokuwa wanafanyiwa wenye mawazo tofauti na serikali ulikuwa unafurahia na kuwakejeli. Vumilia maana msumeno huwa unakata mbele na nyuma.
Uwa wanasahau kuwa maisha gwaride ukisikia nyuma geuka...Walipokuwa wanafanyiwa wenye mawazo tofauti na serikali ulikuwa unafurahia na kuwakejeli. Vumilia maana msumeno huwa unakata mbele na nyuma.
Pole pole amevunja getto lake halafu anasingizia wezi. Dogo hana adabu kabisa. Tena waliovunja amewaficha ili kutafuta kiki tu na huruma awatoe hao waliovunja waisaidie police![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Niliposoma kichwa cha hiyo taarifanikajua ni Kiki tuu, inatengenezwaPole pole amevunja getto lake halafu anasingizia wezi. Dogo hana adabu kabisa. Tena waliovunja amewaficha ili kutafuta kiki tu na huruma awatoe hao weliovunja waisaidie police
Hiki Sasa kinatakiwa kipigwe risasi hata moja na hao wahuni. Kalifurahi na kupanga MATENDO ya kinyama kwa sababu alipata pesa na nguvu![]()