patrick80
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 737
- 608
Ushahidii wa dereva ni kusema tu kweli tulishambuliwa kwa risasi tu. Na polisi wanajua hilo tukio ƙwa hƴo ni kuingia tu ƙazini na kufanƴa upelelezi.Alipo uawa ƙama Barlow haikuulizwa maiti ƴake.Walicho fanƴa polisi ni kusaka watuhumiwa tu na wakawadaka. Sasa hapa kwa lissu mnataka nini zaidi ƴa kujua kwamba alishambuliwaHajafa sasa lzm ahojiwe