Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Trust me km TL angepelekwa MNH baada ya kutoka General leo hii CCM wangekua wanagonga glass tu kwa ushind wa kuondoa bughudha kuu katika wiz wao huu wanaotufanyia lakin mwisho wa yote Mungu ndo mwamuzi wa hil taifa na kupitia yeye hakutaka dam ya mtu imwagike kwa sabab tu ya njaa za watu.
 
Ukijiunga CCM lazima kujivua akili na kuicha mlangoni kabla kuingia jengoni.
 
Lisu ni binadamu mwenye akili, ana familia, ndugu, marafiki na hata raia wenzake wenye akili, hivyo kujadili kushambuliwa kwake kama walevi au watu wenye ubongo wa kuku ni makosa makubwa. Ni busara kunyamaza kuliko kutonesha vidonda.
 
yaani wamekosa cha kuwashawishia wananchii

sawa na yule wa kinondoni aliyesema anazo namba za rais kwa hiyo itakuwa rahis kwake kufikisha mahitaji ya wananchi
 
Huyo na wenzake wote wa kijani wamechanganyikiwa
 
Lisu ni binadamu mwenye akili, ana familia, ndugu, marafiki na hata raia wenzake wenye akili, hivyo kujadili kushambuliwa kwake kama walevi au watu wenye ubongo wa kuku ni makosa makubwa. Ni busara kunyamaza kuliko kutonesha vidonda.
Polepole hilo halijui kwani anachojali ni kuonekana ameongea jukwaani na posho imeingia
 
Mbona Chadema wanataka waangalizi kutoka nje na hawa majamaa hawataki huo uchunguzi? Kwanini wanakataa?
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Umekumbuka kutawadha?[emoji22]
 
Mbona mnamjibia mwenyekiti wa maisha?
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
 
Back
Top Bottom