Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,830
- 50,503
Waliompa hicho cheo sijui walidhani atavutia wale waliokuwa wanaiunga mkono katiba ya Jaji Warioba!?Half ray bana....
Waliompa hicho cheo sijui walidhani atavutia wale waliokuwa wanaiunga mkono katiba ya Jaji Warioba!?Half ray bana....
Hiyo ndio ahadi kwa wana Siha?Ana point, kumficha dereva kunaisaidia vp ? Chadema kwenye mikakati yake ?, ahojiwe tu,
Ana point, kumficha dereva kunaisaidia vp ? Chadema kwenye mikakati yake ?, ahojiwe tu,
Kwa kua yupo hai atimize wajibu wakeDereva na Lissu wangekufa mngeenda makaburini kuwauliza?Hivi mpaka lini mtafikiria kwamba watanzania ni wapumbavu wa aina ya akina Polepole?
Ahadi zimetolewa na mgombea,Hiyo ndio ahadi kwa wana Siha?
Ukitaka kutawala bila stress chagua wasaidizi mentally retarded... Mentally unstable.. Mentally castratedWaliompa hicho cheo sijui walidhani atavutia wale waliokuwa wanaiunga mkono katiba ya Jaji Warioba!?
Na wakati mwingine inafaa muwe mnafanana kidogo!!Ukitaka kutawala bila stress chagua wasaidizi mentally retarded
Anaishije kama popo?kwanini dereva anaishi kama popo, maisha gani hayo ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na yeyeNa wakati mwingine inafaa muwe mnafanana kidogo!!
Kwa kua yupo hai atimize wajibu wake
Hajafa sasa lzm ahojiweDereva na Lissu wangekufa mngeenda makaburini kuwauliza?Hivi mpaka lini mtafikiria kwamba watanzania ni wapumbavu wa aina ya akina Polepole?
Ok.Ahadi zimetolewa na mgombea,
kwanini dereva anaishi kama popo, maisha gani hayo ?
Haja sasa lzm ahojiwe
cctv kamera ziko wapi? hari imeingia kuna wanausalama pale waliingiaje na kutoka getini wana siha huyu mpopoeni mawe anazinguaAna point, kumficha dereva kunaisaidia vp ? Chadema kwenye mikakati yake ?, ahojiwe tu,