Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,103
Hivi Pole pole mbona anaonekana stressed sana au alikuwa molestated sana utotoni
Umeongea kitaalam sana hadi sidhani kama wana Lumumba watakuelewa!Hivi Pole pole mbona anaonekana stressed sana au alikuwa molestated sana utotoni
Pole pole si mwendo.![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Kuwa kwenye tukio katika hali kama ile unadhani ameona kila kitu. Vipi akisema kama alivyokwisha kusema nini kitaongezeka. Kwenye tukio la Lissu kati ya Kamera za CCTV na huyo dereva wa Lissu mnayedai kwamba ni "shahidi muhimu" ushaidi wa hakika upo wapi, kwa dereva ama kwa hiyo CCTV iliyong'olewa?Naona Polepole yuko sahihi tuu.
Camera za cctv zilinasa images za hao wahalifu wakiwa wameficha sura zao kwa kofia na miwani myeusi. Dreva wa Lissu anawafahamu vizuri sana wale waliokuwa wanamfuatilia Lissu huko Dar. Sasa kwa nini anakataa kwenda polisi kuziona hizo images zilizonaswa na camera za CCTV na kuona kama ni zile za watu waliokuwa wanawafuatilia kule Dar? Kwa nini anakataa kuambatana na polisi katika kuwasaka watu hao huko mitaani kwani yeye pekee ndiye anawafahamu kwa sura watu hawa. Kukataa kwake kunaitia doa chadema kama anavyolalamika mjane wa Wangwe! Chama kinapaswa kuondoa madoa doa haya kwa kuhakikisha dereva huyu anaenda kuisaidia polisi kwenye upelelezi wa suala hili. Polepole yuko sahihi ku point out madoa doa haya ya mpinzani wake.kama dereva mmemficha mnashindwaje kuiba kamera za cctv
jibun swali aliyeshambuliwa tunamwona kwenye tv lakin dereva yupo wapi yeye ndio shahidi wa pekee
Umeingilia fani usiyoijua sasa unatoa pumba tu. Yaani akitoa maelezo au huo unaoita utambuzi ndo ataamriwa kuambatana na askari mtaani kuwasaka wahalifu? Akili za Madoctor Wa Tanzania ni za ajabu kweli. Kwa hiyo na wewe doctor!!?Camera za cctv zilinasa images za hao wahalifu wakiwa wameficha sura zao kwa kofia na miwani myeusi. Dreva wa Lissu anawafahamu vizuri sana wale waliokuwa wanamfuatilia Lissu huko Dar. Sasa kwa nini anakataa kwenda polisi kuziona hizo images zilizonaswa na camera za CCTV na kuona kama ni zile za watu waliokuwa wanawafuatilia kule Dar? Kwa nini anakataa kuambatana na polisi katika kuwasaka watu hao huko mitaani kwani yeye pekee ndiye anawafahamu kwa sura watu hawa. Kukataa kwake kunaitia doa chadema kama anavyolalamika mjane wa Wange! Chama kinapaswa kuondoa madoa doa haya kwa kuhakikisha dereva huyu anaenda kuisaidia polisi kwenye upelelezi wa suala hili.
HAPA WAJANJA WATAKUELEWA.HAPO LAZIMA ABADILI WELEKEO.HAWEZI KUSIMAMA KAMA WAKATI ULE.MDOMO UMEFUNGWA.Huyu ndie yule aliekua anatetea katiba mpya kwa hoja makini haya amefikwa na nini huko chamani?
Bosi wake pia ni Dokta,ushuzi at its peak.Umeingilia fani usiyoijua sasa unatoa pumba tu. Yaani akitoa maelezo au huo unaoita utambuzi ndo ataamriwa kuambatana na askari mtaani kuwasaka wahalifu? Akili za Madoctor Wa Tanzania ni za ajabu kweli. Kwa hiyo na wewe doctor!!?
![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Kwa hiyo ahadi kwa wana Siha ni kumtafuta Dereva wa Lisu
kama dereva mmemficha mnashindwaje kuiba kamera za cctv
jibun swali aliyeshambuliwa tunamwona kwenye tv lakin dereva yupo wapi yeye ndio shahidi wa pekee