Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....

Haya maccm ni mabutu ktk ubongo,yanataka yamuue hats Hugo dereva
 
Hapa nayaamini maneno ya kamanda Msigwa kuwa, viatu vya Nape, Polepole vinampwelepweta.
 
Kwa sasa mi naona vyama vyote sawa tu si ccm wala chadema. Sasa mfano CCM inalaumiwa sawa ila CHADEMA nao wakiguswa wanang'aka. Mfano kwa uelewa wangu naamini shahidi wa kwanza kwenye tukio la Lisu ni dereva wake huyo ndiye ambaye anaweza hadithia picha zima maana yeye ni almanusura,kwa hiyo kama uchunguzi unaanzia hapo. Sasa makamanda sijui hofu yao nini?
Naona Polepole yuko sahihi tuu.
Huko kunusurika kwa dereva tu kunatia mashaka na ndiyo maana wengine husema et akija huyo dereva atabambikiwa kesi.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Siku zote watu wanatakiwa kuwa makini wanapowapa majina watoto kwani huwa kuna uvutano wa asili kati ya kiumbe na jina.
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
Pole Pole Ajifunze kutunza Kauli zake km kiongozi wa Kitaifa ita Mgharimu asioongee km yuko kijiweni ''As a Public Figure He has to Keep his words''
 
Nilidhani dereva naye yupo Ubelgiji kwa matibabu.
 
Ni bora Mungu akupe ufukara wa pesa kuliko kukupa usinyavu wa uwezo wa kutafakari mambo. Kwahiyo watu wa Siha uchumi wao utaimarika atakapopatikana dereva? It's no wonder jamaa yule mbabe katuita shimo la noniiino
 
Mwenye akili timamu lazima ahoji kwanini nguvu kubwa inatumika kumkingia kifua dereva?Mtu ambaye hausiki kwanini asijitokeze kumwaga mboga?
 
Dereva na Lissu wangekufa mngeenda makaburini kuwauliza?Hivi mpaka lini mtafikiria kwamba watanzania ni wapumbavu wa aina ya akina Polepole?
Mkuu usilete story za ange....dereva yupo kwann asirudi kuhojiwa?kwanini nguvu kubwa inatumika kumkingia kifua?
 
Huyu Polepole zamani nilikua namuamini sana..kumbe zilikua porojo...anaongea mambo ya akili ndogo sana....
Mambo mengine angekua ananyamaza tu
 
Hakuna kitu kama hicho.Bado Dereva na Lissu ni wahanga wa shambulio na watabaki kuwa mashahidi tu.Fanyeni kazi kama wanataaluma siyo kama wanasiasa wasio na akili.Leo huku Siha tunajiuliza Lissu na Dereva wangekufa PolePole & Coy wangeenda makaburini kuwauliza maswali?

Mnajua wakati mwingine inatosha kutowajibu watu wenye akili kama ya Polepole.Shame on you huna haya hata kidogo.Unazungumzia maisha ya watu wawili yenye familia.Lissu ndiyo kasema dereva wake atarudi yeye atakaporudi,mnadhani Polepole hajui kama wanatanga kumbambikizia kesi Dereva?

Act as Tanzanian mwenye akili timamu siyo kama ****,tunaharibu taswira ya Taifa kwa ujinga huu
Unawezaje Fanya uchunguz bila kuwahoji wahusika waliokuwepo?au unataka polisi wapige ramli?ttz bavicha lisu na dereva mmewafanya innocent.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Aende akamuhoji lisu ndo alishuhuɗia risasi zikiingia mwilini mwake.Nimejiɓu ƙulingana na ujinga wa pole pole
 
Dereva na Lissu wangekufa mngeenda makaburini kuwauliza?Hivi mpaka lini mtafikiria kwamba watanzania ni wapumbavu wa aina ya akina Polepole?
Kwa sababu hakufa aje ahojiwe na vyombo vya dola. Kama alikufa asijitokeze!
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Ni mzee wa tafukuri
 
unajua maana ya kufichwa? Yaani mtu anayejulikana alipo anakuwaje amefichwa?

Ukisoma Maelezo ya hukumu iliyotolewa na Jaji Thokozile Masipa dhidi ya Oscar Pistorius kwenye kesi ya Mauaji ya aliyekuwa Mke wake Reeva SteenKamp, Jaji Masipa alisema kwenye kesi ile ushahidi wa kuaminika ni wa Mashine za Kielektroniki kuliko ule wa binadamu.

Leo kwenye suala la Lissu mashine za Kielektroniki zingetusaidia zaidi kuliko huyo dereva "mnayemsaka" na kutaka kumgeuza mbuzi wa kafara katika kukwepa jukumu lenu. CCTV iliyokuwepo wakati wa tukio mmeing'oa badala ya kuitumia katika kupata undani na ukweli wa tukio. Hivi kampuni za simu zingeshindwa kusaidia kuliko Dereva wa Lissu mnayemsaka?
Vipi kesi ya rwakatare?
 
Mkuu usilete story za ange....dereva yupo kwann asirudi kuhojiwa?kwanini nguvu kubwa inatumika kumkingia kifua?

Hujui maana ya shahidi.Pole mwenye dereva anamuamini dereva wake amesema siku akirudi atarudi na dereva wake na siku ya kuhijiwa atahojiwa na dereva wake akiwa kama wakili wake.

Polisi ifanye kazi yake siyo kurukaruka akma maharage yanayochemka
 
Back
Top Bottom