Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Tatizo hapa siyo Mr.slowslwo kaongea nini na wapi!!

Shida ninayoiona hapo Tanzania ni ile ya kuokota watu from no where na kuwapa nafasi kubwa bila kupima uwezo wao wa kuongea mbele za watu, nguvu yao ya kujenga hoja na hekima.

Tatizo hili limeikuba hadi serikali kuu, hadi wapinzani nao wanafanya makosa yale yale ya kuokota watu kutoka ccm na kuwapa vyeo vikubwaaa overnight.

Huyu tangia akiuke katiba ya Mzee Waryoba aliyoaminisha wananchi kuwa ndiyo bora basi; nilimtoa miongoni mwa watu hapo Tanzania.
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
Kwa maswali yako inaonesha tanzania wajinga bado mpo wengi.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.

Labda tukuulize wewe nawe kama una akili timamu! Dereva wa Lissu hajafa na ni mtu muhimu katika upelelezi huo, ikizingatiwa maneno ya kukanganya anayoyasema kuhusu tukio hilo! Isitoshe akili ndogo ya kiupelelezi kuhoji kwa nini CHADEMA inamficha ni sahihi kabisa.

Pia, ni sahihi kuhoji na kushangaa kwa nini uongozi wa CHADEMA unathubutu kusema Serikali inahusika bila uthibitisho wowote, ili hali walioshambuliwa wako hai na hawataki kusaidia upelelezi.

Nahitimisha kwa kuthubutu kusema kuwa tukio la shambulizi la Mh Lissu na uongozi wa CHADEMA kulifanya kete ya kisiasa litawagharimu sana. Halitawaacha salama kijamii, kisasa na kiuchumi.

TUACHANE NA SIASA KATIKA MASUALA YASIYO YA KIASIASA.
 
Kwanini dereva ambaye ni key witness wa tukio anawekewa mashart mengi kabla ya kuletwa kuhojiwa?
Unajisumbua tu member! Hao wa kumhoji wanajua pa kumpata na kinachowafanya wasimhoji mimi na wewe haatujui! Huenda wana sababu zao na au wana majibu ya maswali ambayo wangemuuliza na ama maelezo yake sio muhimu na yataamsha dude kubwa zaidi!
 
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
digalangosha, tuthibitishie hapa na wewe kwamba unapeleleza hiyo kesi na una ushahidi kwamva walinzi hao walihusika kuchomoa CCTV.

Kama siyo hivyo, na wewe ubongo wako unafanya kazi polepole na kimgando.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Hao ndio viongozi wa kuleta viwanda
 
Wote wanatakiwa kuhojiwa akiwemo Lissu ambaye ndo alikuwa target. Dereva wanini sasa. Mnataka kumuua au
Lissu bado hajapona akipona km atarudi Tz atahojiwa,dereva haumwi na jeshi linahitaji ahojiwe kwanini asiletwe? Km anaogopa kuuwawa hatarudi Tz milele?
 
Hahaha hio ndo hoja ya kampeni kwa wanasiha na wanakinondoni ili kuwaletea maendeleo?! ama kweli chakubanga kaishiwa.. alieumizwa mwenyewe anamuamini dereva wake na hataki abugudhiwe mwishoni auziwe kesi ila hio imekua hoja kwa bwana slow slow
Rita Warobi, mara tu umesahau kuwa shambulio la Mh Lissu, ndilo linetumika kama kete ya kisiasa katika Kampeni za CHADEMA, wakati wote, na bado kikambulia sifuri (0) katika marudio ya udiwani kata 43! Kwako leo unaona ni kosa la kisiasa CCM kujibu hoja hiyo!

Hivyo siyo sahihi kuwasemea wanaSIHA kana kwamba wao ni mbumbu kulishwa matango ya kisiasa.
 
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
Ndio nchi ya Vi-wonder hii. Serikali inasubiri kufanyiwa kazi ya upelelezi wakati ina kila instrument na wataalamu wa upelelezi!
 
Back
Top Bottom