Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Bado hujaweka hoja wazi kwanini dereva anazuiwa kuhojiwa! Kwa sababu dereva sio mtuhumiwa mpk atakapohojiwa na kugundulika km kuna utata kwenye maelezo yake, lkn kukataa kumpeleka dereva itasaidia nini kuhakikisha haki ya kukamatwa/kuhojiwa kwa aliyekuwa lindoni inatimizwa? Na je ilishawekwa hadharani kuwa dereva anazuiwa mpk aliyekuwa lindoni ahojiwe kwanza?

Tatizo lenu hamkuwa na plan B, mlijua kwa idadi ya risasi zile tena at close range asingetoka mtu hai kwenye ile gari, mlilotaka halikuwa ndiyo mnaruka ruka kufanya damage control, its just too late.
 
Hii comment inahusiana nini na kumuachia dereva kuhojiwa?
 
Sasa dereva wa lisu unawausu nini wana siha... Wana siha wanataka maendeleo na huduma za jamii, sio alipo dereva wa lisu.this guy slow slow is a political Baffoon,bado mwepesi sana kwenye siasa.
 
Nabii tito amefanya shughuli za kanisa bila kibali hivyo ni mhalifu tofauti na lissu kutoa ripoti ya maisha kuwa hatarini mitandaoni. Tofautisha kati ya mhalifu na mtoa taarifa(mlalamikaji)

Ni kweli Nabii tito anafanya shughuli za kikanisa bila kibali. Polisi walizipata wapi taarifa hizi???? Polisi wenyewe walisema walizpata mitandaoni ndo wakachukua hatua.

Kwenye tukio la lissu walisema hawafanyi kazi na mitandao, angeenda kuripoti polisi officially.

Kwahiyo mhalifu akiwa mtandaoni anakamatwa lakini mtu akitoa taarifa za kihalifu za watu wengine hadi uende kituo cha polisi.

Kama kuna mtu anapanga njama za kumuua rais, nikitoa taarifa mitandaoni kwa polisi hawatochukua preventive measures hadi niende kituoni?????

Which is which??

You are such a shithole citizen indeed.. Trump hakukosea kututukana.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Ushasema angekufa, hajafa sasa. aje aisaidie polisi alichokiona. wanamficha wa nini. si kuhojiwa tu. hata TL akitoka hospitali anahojiwa. Acheni mbwembwe za kitoto.
 
Polepole sio mzima ujue sasa inatakiwa kuwa makini wakati wa kutoa taarifa zake anaweza hata kutangaza kifo chake na kusema CCM mpya ndo hii.
 
Majibu tunayoyataka kutokana na Hoja ya Lissu kushambuliwa ni

1.Kwanini Geti lilikuwa wazi siku Lissu anashambuliwa na Walinzi wa kampuni hawakuwepo?

2.Askari wanaolinda pale kwa Naibu Spika walienda wapi siku ya tukio?

3.Kamera za usalama jengo alilokuwa anakaa LISSU NA NYUMBA ZA JIRANI zilienda wapi siku ya tukio?

Akiweza kujibu hayo aendelee na kumsubiri dereva
 
Ushasema angekufa, hajafa sasa. aje aisaidie polisi alichokiona. wanamficha wa nini. si kuhojiwa tu. hata TL akitoka hospitali anahojiwa. Acheni mbwembwe za kitoto.

Tundu lissu kasema yupo tayari kutoa ushirikiano kwa polisi waende ubelgiji
 
Ni kweli Nabii tito anafanya shughuli za kikanisa nila taarifa. Polisi walizipata wapi taarifa hizi???? Polisi wenyewe walisema walizpata mitandaoni ndo wakachukua hatua.

Kwenye tukio la lissu walisema hawafanyi kazi na mitandao, angeenda kuripoti polisi officially.

Kwahiyo mhalifu akiwa mtandaoni anakamatwa lakini mtu akitoa taarifa za kihalifu za watu wengine hadi uende kituo cha polisi.

Kama kuna mtu anapanga njama za kumuua rais, nikitoa taarifa mitandaoni kwa polisi hawatochukua preventive measures hadi niende kituoni?????

Which is which??

You are such a shithole citizen indeed.. Trump hakukosea kututukana.
Tofautisha kati ya taratibu za kuripoti uhalifu bila polisi kuwepo eneo la tukio na polisi kushughulikia tukio wanaloliona.

Kufanya tukio la uhalifu mitandaoni ni sawa na kufanya hadharani kwa mujibu wa sheria,lkn huwezi kutoa taarifa ya tukio mitandaoni zaidi ya polisi kwa sab ni mtoa Taarifa tu anayejua namna tukio lilivyotokea anaowahisi mashahidi n.k je info zote hizo mtoa taarifa atazitoa mitandaoni? Tendo la nabii Tito kwa mujibu wa sheria kalifanya hadharani polisi hawana budi kulishughulikia mara moja. Hivi lissu haijui kwamba taarifa za matukio ya kiuhalifi lazima yaripotiwe polisi ili polisi ifungue kesi? Ulitaka polisi imtafute lissu na kumhoji kuhusu alichosema mtandaoni au kwenye mkutano ili ikifanyie kazi? Huo utaratibu haupo dunia nzima.
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Polepole uko tayari kuinamishwa ili mradi umfurahishe magu,sikutegemea kama una akili ya ovyo namna hiyo kwa kweli sasa chama kimempta chakubanga loooh,hata chembe ya aibu?
 
Back
Top Bottom