Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Shambulio la Lissu kupigwa risasi: Polepole aibua mapya

Lissu bado hajapona akipona km atarudi Tz atahojiwa,dereva haumwi na jeshi linahitaji ahojiwe kwanini asiletwe? Km anaogopa kuuwawa hatarudi Tz milele?

Kwa kinachotoa maelezo ni mwili au akili ya mtu?. Lissu is mentally fit though is not fully body recovered. Kila siku tunamsikia akitoa matamko.

Kwanini polisi wasitumie fursa hii kwenda kumuhoji na kwanini hata kabla ya tukio aliwahi kutoa tamko kuwa kuna watu wanamfuatilia lakini polis uchwara wakanyamaza.

Mpaka sasa hakuna hata mshukiwa mmoja aliekamatwa ingawa tukio lilitokea kwenye eneo wanapokaa viongozi ambapo kuna ulinzi 24hours pamoja na CCTV camera.
Hivi chukua mfano kama aliepigwa risasi angekua rais au waziri mkuu au spika ni kweli asingepatika suspect hata mmoja!???.

Tz ina intelijensia mbovu barani Afrika. Hii inatokana na IQ zao kuwa below the average. Ndio mana watu wanashuku waliohusika ni vyombo vya usalama vyenyewe ila sasa wanaweweseka coz jamaa hajafa.

Watz hawana tofauti na maiti ila siku wakifufuka wenye madaraka watayaachia wenyewe!
 
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
Ukitaka Ku prove huyu ni mchumia tumbo, pata msimamo wake alipokuwa ktk kamati ya Warioba na linganisha na kauli na matendo yake sasa akiwa kiongozi wa chama.
 
Kwa kinachotoa maelezo ni mwili au akili ya mtu?. Lissu is mentally fit though is not fully body recovered. Kila siku tunamsikia akitoa matamko.

Kwanini polisi wasitumie fursa hii kwenda kumuhoji na kwanini hata kabla ya tukio aliwahi kutoa tamko kuwa kuna watu wanamfuatilia lakini polis uchwara wakanyamaza.

Mpaka sasa hakuna hata mshukiwa mmoja aliekamatwa ingawa tukio lilitokea kwenye eneo wanapokaa viongozi ambapo kuna ulinzi 24hours pamoja na CCTV camera.
Hivi chukua mfano kama aliepigwa risasi angekua rais au waziri mkuu au spika ni kweli asingepatika suspect hata mmoja!???.

Tz ina intelijensia mbovu barani Afrika. Hii inatokana na IQ zao kuwa below the average. Ndio mana watu wanashuku waliohusika ni vyombo vya usalama vyenyewe ila sasa wanaweweseka coz jamaa hajafa.

Watz hawana tofauti na maiti ila siku wakifufuka wenye madaraka watayaachia wenyewe!
Kwanini afuatwe ubelgiji wakati atarudi Tanzania? Lkn dereva nae anatimiwa ubelgiji? Lissu hajawahi kwenda kituo chochote cha polisi kutoa taarifa ya kufuatwa na gari, yeye ni mwanasheria mbobezi hajui taarifa hufunguliwa file polisi sio mikutanoni,mitandaoni na kwenye press conferences?
 
Harakati za upelelezi zitaendelea.
Kwa nn harakati hizo zisianzie kwenye cctv na wale maaskari waliokuwa doria? Tusishabikie uovu tukifikiri tuko salama kwani aliyezoea kula nyama za watu hachagui kabila wala rangi
 
Kwa nn harakati hizo zisianzie kwenye cctv na wale maaskari waliokuwa doria? Tusishabikie uovu tukifikiri tuko salama kwani aliyezoea kula nyama za watu hachagui kabila wala rangi
Kwanini polisi wapangiwe mtu wa kuanza nae ktk kufanya upelelezi? Kwanini hasa dereva awekewe mashart kabla hajaachiwa na chadema ahojiwe? Kuna tatizo gani akiachiwa ahojiwe bila kujali ni wa kwanza au wa mwisho?
 
Kuna siku nilienda hospitali ya Muhimbili. nikaona vijana wa kike na wakiume WAPO katika foleni ndefu. Ilinibidi niulize mbona pale kuna foleni ni klinik ya doctor yupi?

Jiran yangu alinijibu kuwa wale ni waathirika wa madawa ya kulevya. Pale ni klinik yao kila siku wanapewa dawa Na ushauri nasaha kuhusu madawa ya kulevya. Na ndio maana mitaani. Na stend za daladala wamepungua.

Nikaona kumbe ndo maana hata zile sauti wapiga debe walomeza vyura sizisikii

Naipongeza SERIKALI kwa kupambana Na Mateja ambao walikuwa Kero mitaani Na ktk mikusanyiko mbalimbali mijini

Binafsi natoa mwito kwa baadhi waliopo ambao bado WAPO mitaani Na ktk maofisi mwenye uathirika wa madawa waende Hospitalini dawa. Ushauri, Ice cream Na nauli wanapewa BURE kila siku.

Maana "WAGONJWA WAPO MITAANI NA WENYE UNAFUU, WASIO WAGONJWA WANAENDA HOSPITAL.

TUJITOKEZE AMBAO BADO.
 
mh wakati mwingine Polepole huwa anaongea mambo ambayo ni vigumu kuamini kama ni yeye. sina hakika sana labda ni kwa sababu ya nafasi ya chama aliyonayo . iunasikitisha .
 
Kwanini dereva ambaye ni key witness wa tukio anawekewa mashart mengi kabla ya kuletwa kuhojiwa?
Hivi unaamini kuwa dola ikikuhitaji unaweza kufichwa na yeyote zaidi ya kifo? Haya ni maigizo tu na wanabuy time kuhofia matokeo ya kukurupuka! Kama kweli amedichwa akafichika basi dola za nchi nyingine zinaishangaa dola yetu kwa aina hii ya utendaji! Hebu waza mbali kidogo, uwe unatafutwa na CIA au FBI kisha ujifiche sehemu inayofikika waache kukuopoa kama kinyango kwenye bakuli la supu tena ghafla bin vuuu! Kuna zaidi ya unavyoaminishwa!
 
Kwanini afuatwe ubelgiji wakati atarudi Tanzania? Lkn dereva nae anatimiwa ubelgiji? Lissu hajawahi kwenda kituo chochote cha polisi kutoa taarifa ya kufuatwa na gari, yeye ni mwanasheria mbobezi hajui taarifa hufunguliwa file polisi sio mikutanoni,mitandaoni na kwenye press conferences?

Mbona nabii tito alikamatwa bila mtu kwenda kuripoti kituo cha polisi????

Polisi walichukua hatua baada ya kuona clip zake zinazagaa mitandaoni.

Vivo hivyo walitakiwa kufanya hivyo lwa tundu lissu!
Tatizo lako una akili mfu kama wafuasi wa CCM
 
Nabii tito amefanya shughuli za kanisa bila kibali hivyo ni mhalifu tofauti na lissu kutoa ripoti ya maisha kuwa hatarini mitandaoni. Tofautisha kati ya mhalifu na mtoa taarifa(mlalamikaji)
 
Hivi unaamini kuwa dola ikikuhitaji unaweza kufichwa na yeyote zaidi ya kifo? Haya ni maigizo tu na wanabuy time kuhofia matokeo ya kukurupuka! Kama kweli amedichwa akafichika basi dola za nchi nyingine zinaishangaa dola yetu kwa aina hii ya utendaji! Hebu waza mbali kidogo, uwe unatafutwa na CIA au FBI kisha ujifiche sehemu inayofikika waache kukuopoa kama kinyango kwenye bakuli la supu tena ghafla bin vuuu! Kuna zaidi ya unavyoaminishwa!
Yote ya nini si wamlete tu?
 
polepole.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha CHADEMA kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.

Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya CHADEMA wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo.

Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa Lissu angekufa katika shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?

Siasa za CCM kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Usikurupuke kamanda .jibu hoja kwanzaaa tartiibu..ni kwa nini dereva anafichwa badala ya kwenda kuisaidia polisi ??????? kwani nayeye kalazwa au ????? Ni kawaida polisi wakati wa upelelezi huwaita baadhi kuwahoji..lakini kwa case hii jamaa wamemkatalia dereva.kuna kitu hapa..
 
CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa ar? ? d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga
Pelekeni dereva polisi msikimbilie cctv sijui nini...msitake kutupiga changa la macho hapa..cctv hujui zinaweza zikatengenezwa ?
 
huyu huwa ubongo wake unafanya kazi polepole, anyway wakati wanamsubiri dereva wa lissu waanze kukamata walinzi pamoja na wale walihusika kuchomoa cctv eneo la tukio.....
Weweeeee shahidi namba moja ni cctv au dereva..?????? Embu tuambie kwa utaalam wako
 
Hakuwa na jipya angepoteza muda na nini siku imeingia
 
Hakuna kitu kibaya kama kuongozwa na mtu asiyekuwa na msimamo
 
Back
Top Bottom