Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

Saa nane usiku mnafanya nini huko club? hamna vitanda?
 
Wakuu lengo la thread ni kupata taarifa juu ya tukio coz hili sio jambo la mzaha leo inaweza tokea club kesho shuleni au popote. So hayo mengine naomba tuyaweke pembeni.
 
Habari wakuu. Leo mida ya saa nane usiku pale club babylon ilizuka tafrani na taharuki kuu baada ya gesi chafu yenye kuumiza pua na koo kutokea ndani ya club iliyokua imefurika watu hvyo kusabisha watu kukimbia nje haraka na shughuli zote kusimama. Bado cjajua sababu nini naomba wenye info waweke hapa coz ilikua ni hatari sana watu walipokua mamia wakikanyagana kutoka nje.

Hiyo gesi itakuwa imepulizwa na wapinzani wa Kibiashara
 
Hiyo ni paper spry kapuliza mjinga mwenye roho mbaya ila upelelezi ukifanyika vizuri atajulikana
 
Hiyo ni paper spry kapuliza mjinga mwenye roho mbaya ila upelelezi ukifanyika vizuri atajulikana

Dah mbaya sana ule mkanyagano na pilika inaweza hata kuangusha jengo na maafa zaidi. Ile hewa inakaba koo kupumua huwezi. Na jana ulinzi mlangoni kulikua almost zero coz me hata ckuscaniwa na mlinzi.
 
Dah mbaya sana ule mkanyagano na pilika inaweza hata kuangusha jengo na maafa zaidi. Ile hewa inakaba koo kupumua huwezi. Na jana ulinzi mlangoni kulikua almost zero coz me hata ckuscaniwa na mlinzi.
Hukuwa scanned wala frisked lakini bado tu ukaingia. . . . .starehe yake usalama kama hakuna usalama usiingie sehemu kama hiyo
 
Ile paper spray wanabeba zaidi wakina dada ya kuzuia kubakwa .wakicheza vizuri na camera zao wanaweza kuona angalau suspect
 
Wakuu lengo la thread ni kupata taarifa juu ya tukio coz hili sio jambo la mzaha leo inaweza tokea club kesho shuleni au popote. So hayo mengine naomba tuyaweke pembeni.

kwa kawaida matukio kama haya huwa ni mashambulizi ya ki baiolojia au ya ki kemikali ambayo hufanywa kupitia mifumo ya kusambaza hewa ya jengo husika kama, kumbi za starehe,mikutano, mashule, maduka makubwa yaliyo ndani ya jengo moja kubwa ausehemu yeyote yenye mkusanyiko mkubwa kwa kuwa lengo huwa ni idadi kubwa ya wahanga, ni moja ya mtindo unaotumiwa na magaidi au watafiti wa silaha za namna hiyo, ulichtakiwa kufanya ni kuwapigia polisi ili wakabaini nini hasa kilichotokea si kukimbilia nyumbani, kama ni virusi ungeua familia nzima na kuambukiza waliokuzunguka. Sasa chukulia wote mliokimbia na kuwapelekea wanafamilia wenu, zidisha idadi ya wanaowazunguka ni janga la kitaifa, kuweni makini.
 
Ile ilikuwa wivu wa biashara paper spray si kitu ambacho ni kigeni kwa watu wengi. Watu walipiga chafya na wengine waliweza kubaki ndani .hii iliwahi kutokea club bilcanas dar miaka ya nyuma .mwingine anafanya hivyo kutekeleza wizi wake .ila wadau tukishirikiana tutafanikiwa kumpata
 
Nani amethibitisha kuwa ni paper(pepper?) spray? I kitokea billz inakua ni kawaida kutokea club nyingine?, mnavyoingia mliscanniwa, ndani kuna sekyuriti kamera? umejuaje mtu alikua anatekeleza wizi? Tukishirikiana!!!kivipi? mkuu Tutoke hebu fafanua kidogo
 
Nikisema tushirikiane ni sisi wadau wa nightlife kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama pale tunaposikia tetesi yoyote..paper spray ni comon sana watu wengi wanajua .mimi binafsi nilikuwepo .securty camera wanazo za kutosha.
 
Binafsi i was in great shock. Nikajua ni mambo ya chemical weapons kama Sadam Hussein alivyowafanyia Wakurdi.
 
Back
Top Bottom