Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

nimeshapafaham mkuu as ante sana,kwa taarifa,wauza mawe wanapapenda sana
 
Devil at work. Na kwa bahati ameenda kuwafuata wateja wake. Saa nane za usiku watu mnajazana club, daah, watz kwa starehe bana.

Mimi huwa najiuliza kuna wale machalii unakuta siku za weekend alfajiri watu mnaenda kusali wao ndio wanatoka baa na wengine wanazimua hivi huwa hawapati usingizi au kipindi hicho shetani unakuta kaukamatia usingizi pombe mwanaharamu.
 
Back
Top Bottom