Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

Shambulio la gesi chafu Babylon Club Arusha

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,218
Habari wakuu,

Leo mida ya saa nane usiku pale club Babylon ilizuka tafrani na taharuki kuu baada ya gesi chafu yenye kuumiza pua na koo kutokea ndani ya club iliyokua imefurika watu hvyo kusabisha watu kukimbia nje haraka na shughuli zote kusimama.

Bado sijajua sababu nini, naomba wenye info waweke hapa maana ilikuwa ni hatari sana watu walipokuwa mamia wakikanyagana kutoka nje.
 
Hio ni dawa ya kuua nguvu za kiume . Inatumika sana kwenye magereza usiombe ikupate kwani inawasha koo . Poleni sana walengwa .
 
Serious ??? Tukikumbuka mabomu tunaanza kupata wasiwasi na hili tukio.
 
Devil at work. Na kwa bahati ameenda kuwafuata wateja wake. Saa nane za usiku watu mnajazana club, daah, watz kwa starehe bana.
 
Hio ni dawa ya kuua nguvu za kiume . Inatumika sana kwenye magereza usiombe ikupate kwani inawasha koo . Poleni sana walengwa .

Kwahiyo jamaa tayari Unit zake zimeshapungua!
 
Back
Top Bottom