mimi nilikua napenda american ninja 5 duuh!!
Dogo amenifurahisha vile alivyo vaa hicho kibarakatu chake kama ma mwinyi wa bwagamoyoo.......hahahahaaaaaaa...
mimi nilikuwa napenda 'sinema leo' maana pale kijijini kwetu kulikuwa hakuna umeme kwa hiyo hao jamaa wakija kutuonesha hatuna uchaguzi ni kuangalia na kuishangilia yoyote watakayoweka.