Mwambieni huyo Shaka akamalizane kwanza na Mh Rais Shein "aliyemtusi" kikaoni hata akafukuzwa na kuwekwa nje ya ukumbi chini ya ulinzi mkali, kabla ya Asha kuingilia kumuombea msamaha. Huku kitaa akitukana atakuwa kwenye hatari ya kuhusika na vichapo from flying objects.
Inawezekana mbona nchi kubwa kama china imepiga marukuku na hakuna mambo ya mitandao ya kijamii iweje Tanzania ishindikane.Wakuu inawezekana kwani amani,umoja na utulivu ni muhimu kuliko jambo lolote
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Bw. Shaka amewataka wabunge wa baraza la wawakilishi wapeleke hoja ya dharula katika baraza ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii na blogs zote kwa sababu ya kuhatarisha usalama wa taifa na kufanya uchochezi!!
Source: Star TV habari adhuhuri.
Je wana - JF hii siyo mbinu ya kudidimiza uhuru wa kutoa maoni na kugandamiza demokrasia nchini?!
Ni kweli kuna watu wanatumia mitandao ya kijamii vibaya,
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Bw. Shaka amewataka wabunge wa baraza la wawakilishi wapeleke hoja ya dharula katika baraza ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii na blogs zote kwa sababu ya kuhatarisha usalama wa taifa na kufanya uchochezi!!
Source: Star TV habari adhuhuri.
Je wana - JF hii siyo mbinu ya kudidimiza uhuru wa kutoa maoni na kugandamiza demokrasia nchini?!
Suala siyo elimu,sidhani kama anasema blog zote zifungiwe ila kuna baadhi ya blogs ni kweli hazifai kuwa hewani, na sisi hatuwezi kuwa tutakua nchi ya kwanza kufunga blogs au baadhi ya blogs.Nina mashaka na elimu ya huyo jamaa