Shaka: Mitandao ya Jamii zikiwemo blogs zipigwe marufuku!!

Shaka: Mitandao ya Jamii zikiwemo blogs zipigwe marufuku!!

Vccm zanzibar kudhibiti mitao ya kijamii.
Vccm mbona nyie ni vijana lkn mnachukia mitandao ya kijamii kama wazee wakati mitandao ya kijamii ni zawadi kutoka kwa mungu?
Wamejianda kupeleka mswaada wa sheria kwenye baraza la wawakilishi kuzuia mitandao ya kijamii istumike zanzibar

Shaka amekwisha muandaa mwakilishi kutoka CCM awasilishe hoja binafsi katika baraza kupiga marufuku mitandao ya Jamii Zanzibar!
 
Mwambieni huyo Shaka akamalizane kwanza na Mh Rais Shein "aliyemtusi" kikaoni hata akafukuzwa na kuwekwa nje ya ukumbi chini ya ulinzi mkali, kabla ya Asha kuingilia kumuombea msamaha. Huku kitaa akitukana atakuwa kwenye hatari ya kuhusika na vichapo from flying objects.

Tena flying objects zenye nchi kali
 
Labda afunge blog za Uvccm na za ccm
 
Back
Top Bottom