Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Bw. Shaka amewataka wabunge wa baraza la wawakilishi wapeleke hoja ya dharula katika baraza ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii na blogs zote kwa sababu ya kuhatarisha usalama wa taifa na kufanya uchochezi!!
Source: Star TV habari adhuhuri.
Je wana - JF hii siyo mbinu ya kudidimiza uhuru wa kutoa maoni na kugandamiza demokrasia nchini?!
Nadhani njia sahihi hapo ni kufungia ile tu inayokwenda kinyume.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar amewataka wabunge wa baraza la wawakilishi wapeleke hoja ya dharula katika baraza ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii na blogs zote kwa sababu ya kuhatarisha usalama wa taifa na kufanya uchochezi!!
Source: Star TV habari adhuhuri.
Je wana - JF hii siyo mbinu ya kudidimiza uhuru wa kutoa maoni na kugandamiza demokrasia nchini?!
Je wanao uwezo na teknolojia ya kudhibiti teknolojia ya upashanaji habari kwa mapana yake yote??!! wapige marufuku simu za kiganjani zenye internet; wafungie facebook ; tweeter nk...!!!!!!!!!!!!!!!!; short of that wamuulize the infamous Komandoo Salmini Amour Juma alipojaribu kuyapiga marufuku magazeti mawili ya Tz bara yasiingie ZNZ; akaambiwa watu siku hizi wanayasoma hayo magazeti kwenye internet; akasema Hapo chacha!! akaduwaa, magamba ni 10th world wonder; they deserve to be in the museums!! pure majanga
Hakuna mwenye uwezo huo , kama unabisha muulize jk , halafuToeni hoja kupinga au kukubali alichokisema , kama mnatukana kwanini isifutwe?
Toeni hoja kupinga au kukubali alichokisema , kama mnatukana kwanini isifutwe?
Unadikri umechangia kweli hii mada?
Ni aibu ktk karne hii ya 21 (information technology age) kwa anayejiita kijana kuwa na fikra za stone age.CCM ndio imewandaa hawa vijana wawe viongozi wa kesho?Mungu tusaidie!!!??