Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,230
Hivi kwanini wanaccm mnaona aibu kujiweka wazi?Nani kakwambia mimi ni CCM au UVCCM?
Hivi kwanini wanaccm mnaona aibu kujiweka wazi?Nani kakwambia mimi ni CCM au UVCCM?
SureShaka mtu na nusu
Wakina nani wamechoka?Kwa maoni yangu ni kuwa ccm haiwezi kujiongeza upendo kwa wananchi hata kifanye mazuri mengi kiasi gani. Hata kilipe jobless mishahara lakini bado upendo kwao utaendelea kupungua...
maoni tu mzee, siyo lazima uyachukue.Wakina nani wamechoka?
Nilini walikufanya kuwa msemaji wao?
KICHWA CHA HABARI "Msumari wa Moto kwa upinzani", nimesoma mpaka mwisho sioni huo Msumari wa moto.Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake...
MLETA MADA HUJITAMBUI, Siasa zinafanywa na CCM tu huku vyama vya upinzani hata vikifanya jogging, Polisi hawa hapa. Leo unaongea utumbo. WEKENI mizani sawa ya siasa tuone huo Msumari wa Moto inayozungumziwa.Nani kakwambia mimi ni CCM au UVCCM?
Hana lolote huyu dogo!Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake...
Ni kijana gani anaweza kujiunga na ccm kwa hiari? Vijana wamepigika mtaani hawana hamu kabisa na ccm labda kipindi Cha jk ambacho ajira zilikuwa bwerere Kila Kona. Sasa hivi mwenye masters anaendesha bodabida au Ni shoeshiner halafu aipende ccm? Kwa lipo!!Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake,
Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza na kutatua matatizo na shida za watu bila kujali itikadi wala hali yoyote zimemfanya Shaka Hamdu Shaka awavute watu wengi hasa vijana kujuinga na Chama Cha Mapinduzi,
Shaka pamoja na fitina na figisu nyingi alizofanyiwa huko nyuma kamwe hazijawahi kumfanya alege kwenye kukitetea na kukipigania Chama Cha Mapinduzi zaidi sana kijana huyu alisamehe na kusahau leo Shaka amegeuka kuwa darasa la Uongozi na viongozi kwa vijana wengi wa CCM na hata kwawale wasiokuwa na vyama au wavyama vingine,
Wakasema Shaka Hamdu Shaka anakula rushwa wakamsimamisha uongozi kijana huyu mwenye hulka ya Upole na Unyenyekevu hakujali wala kukata tamaa zaidi sana akaendelea kuchapa kazi kwa weledi na bidii zaidi kuliko mwanzo,
Vijana wa Tanzania tunachakujifunza toka kwa kijana huyu Mzalendo wakutiliwa mfano, Pamoja na Vita kubwa kubwa na nzito alizopigwa leo hii Shaka amegeuka lulu ndani ya Chama Cha Mapinduzi,Leo ndio mtu anayerudisha imani kwa Watanzania kuendelea kuiamini CCM-Tanzania
#Vijana Uvumilivu Unalipa sana,
View attachment 2019626
View attachment 2019627
View attachment 2019629
View attachment 2019631
View attachment 2019632
View attachment 2019636
View attachment 2019686
View attachment 2019687
View attachment 2019688
View attachment 2019689View attachment 2019706
Mnajikana leo?Upinzani upi tena jamani wakati CCM mlishasamsema mmeufuta upinzani Tz??
Soma polepole kwa kuelewa mkuu,MLETA MADA HUJITAMBUI, Siasa zinafanywa na CCM tu huku vyama vya upinzani hata vikifanya jogging, Polisi hawa hapa. Leo unaongea utumbo. WEKENI mizani sawa ya siasa tuone huo Msumari wa Moto inayozungumziwa.
Kwani wanaotetea Serikali wote ni wana -CCM?Hivi kwanini wanaccm mnaona aibu kujiweka wazi?
Nakubaliana na wewe 100%Shaka ni jembe nakubali
Uko sahihi, Hata kama wanamkataa midomoni mioyoni wanamkubaliShaka ni jembe nakubali
Naunga hoja mkono,Uko sahihi, Hata kama wanamkataa midomoni mioyoni wanamkubali