Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

mwakaboko

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,916
2,000
mtoa post sema ukweli, mimi ni CCM. Tanzania hatuna uwanja sawa wa kisiasa. Mtu anatoka golini kwake hakutani na mkabaji yeyote, anafunga halafu, unamsifu kuwa ni mchezaji mzuri kwa kipimo gani? Mtoa post jizoeze kujiuliza maswali magumu
 
Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
803
1,000
mtoa post sema ukweli, mimi ni CCM. Tanzania hatuna uwanja sawa wa kisiasa. Mtu anatoka golini kwake hakutani na mkabaji yeyote, anafunga halafu, unamsifu kuwa ni mchezaji mzuri kwa kipimo gani? Mtoa post jizoeze kujiuliza maswali magumu
Haaaa eti magari yamegongana wakati njia nzima hakuna magari yanayokuja upande wa pili.Barabara ipo ila imefungwa.
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,643
2,000
CCM waache vyama vingine viingie mtaani kunadi Sera uone kama Kuna nzi wa kijani yeyote atakayekatiza zaidi ya kuliwa na ndege mbayuwayu.

Yaani uwashe radio, ufungulie wimbo wa Extra Musica ushindane kucheza blues au reggae peke yako ujisifu we ni mshindi?

Huu unakua ni upunguani wa kiwango cha SGR...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom