Shairi: Nyege ni kunyegezana by Andanenga

Haiyaa haiyaa!

Wimbo wa Raymond/ Rayvany akimshirikisha Diamond Platnumz umezua tahanani na kuwafanya BASATA waingilie kati na kuupiga marufuku kwa kutumia kisingizio cha maadili.

Sungusungu wa maadili Tanzania hii hawaeshi kustaajabisha.

Sasa mimi Ngabu, nisiye na hili wala lile, nauliza tu hapa.

Shairi la yule gwiji mshairi, si mwingine yule bali Amiri Abdalah Sudi almaaruf kama Andanega, lijulikanalo kama ‘Nyege ni Kunyegezana, nalo liliwahi fungiwa na hawa mgambo wetu wa maadili ya Kitanzania?

Kama hujawahi lisikia au kulisoma hilo shairi, nakuwekea hapa.

Furahia utunzi murua kabisa wa gwiji Andanenga:

Ufafanuzi wa nyege ni kunyegezana katika Kiswahili
nyege ni kunyegezana | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries

    • nyege ni kunyegezana
MSEMO
1wema ni mpaka uwe wa kutendeana.

Maana yake, wema wa kufanywa upande mmoja tu, si wema, ni unyonyaji na utumwa.

Kwa kweli "Nyege ni kunyegezana" ni msemo wa Kiswahili uliokuwepo miaka mingi kabla Amiri Akida "Sauti ya Kiza" Andanenga hajaandika shairi la jina hilo.Maana yake, gwiji wetu Andanenga hakujizushia tu kuandika shairi hilo, bila muongozo, alilitoa katika misemo ya Kiswahili.

Halafu msemo wa "Nyege ni kunyegezana" ni msemo mrefu sana, hata neno lenyewe "nyege" limekuwa over sexualized.Kwa tunaojua Kiswahili cha ndani, nyege ni tamaa fulani hivi, si lazima hata iwe ya sex.Yani ni hamu kubwa, mtu kusema "nina nyege na movie ya action leo" ni kitu cha kumaanisha nina hamu ya kuangalia movie ya action, nothing sexual.

Kwahiyo huo msemo wa "Nyege ni kunyegezana" ulivyokuwepo zama na zama, unaweza kuwa mpana sana, kumaanisha.

Kimsingi, msemo unasisitiza reciprocity and propagation

1. Habari ni kupashana
2. Mapenzi ni kupendana
3. Kazi ni kushirikiana
4. Familia ni kuzaliana
5.Shughuli ni kukaribishana
6. Chakula ni kugawana
7.Heshima ni kuheshimiana
9. Uzuri ni kukubaliana
10. Vicoba ni kukopeshana
 
Ufafanuzi wa nyege ni kunyegezana katika Kiswahili
nyege ni kunyegezana | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries

    • nyege ni kunyegezana
MSEMO
1wema ni mpaka uwe wa kutendeana.

Maana yake, wema wa kufanywa upande mmoja tu, si wema, ni unyonyaji na utumwa.

Kwa kweli "Nyege ni kunyegezana" ni msemo wa Kiswahili uliokuwepo miaka mingi kabla Amiri Akida "Sauti ya Kiza" Andanenga hajaandika shairi la jina hilo.Maana yake, gwiji wetu Andanenga hakujizushia tu kuandika shairi hilo, bila muongozo, alilitoa katika misemo ya Kiswahili.

Halafu msemowa "Nyege ni kunyegezana" ni msemo mrefu sana, hata neno lenyewe "nyege"limekuwa over sexualized.Kwa tunaojua Kiswahili cha ndani, nyege ni tamaa fulani hivi, si lazimahata iwe ya sex.Yani nihamu kubwa, mtu kusema "nina nyege na movie ya action leo" ni kitu cha kumaanisha nina hamuya kuangalia movie ya action, nothing sexual.

Kwahiyo huo msemo wa "Nyege ni kunyegezana"ulivyokuwepo zamana zama, unaweza kuwa mpana sana, kumaanisha.

Ni kweli. Na hata kwenye kamusi upo na upo tokea zamani tu.

Kamusi zote za Kiswahili nilizonazo huo msemo upo!!
 
Heshima yako mkuu Kiranga , hakika kiswali unakijua vema.Asante kwa ufafanuzi mzuri na mifano uloyomaliza nayo hapo mwisho.
 
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ufafanuzi wa nyege ni kunyegezana katika Kiswahili
nyege ni kunyegezana | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries

    • nyege ni kunyegezana
MSEMO
1wema ni mpaka uwe wa kutendeana.

Maana yake, wema wa kufanywa upande mmoja tu, si wema, ni unyonyaji na utumwa.

Kwa kweli "Nyege ni kunyegezana" ni msemo wa Kiswahili uliokuwepo miaka mingi kabla Amiri Akida "Sauti ya Kiza" Andanenga hajaandika shairi la jina hilo.Maana yake, gwiji wetu Andanenga hakujizushia tu kuandika shairi hilo, bila muongozo, alilitoa katika misemo ya Kiswahili.

Halafu msemowa "Nyege ni kunyegezana" ni msemo mrefu sana, hata neno lenyewe "nyege"limekuwa over sexualized.Kwa tunaojua Kiswahili cha ndani, nyege ni tamaa fulani hivi, si lazima hata iwe ya sex.Yani ni hamu kubwa, mtu kusema "nina nyege na movie ya action leo" ni kitu cha kumaanisha nina hamu ya kuangalia movie ya action, nothing sexual.

Kwahiyo huo msemo wa "Nyege ni kunyegezana"ulivyokuwepo zamana zama, unaweza kuwa mpana sana, kumaanisha.

Kimsingi, msemo unasisitiza reciprocity and propagation

1. Habari ni kupashana
2. Mapenzi ni kupendana
3. Kazi ni kushirikiana
4. Familia ni kuzaliana
5.Shughuli ni kukaribishana
6. Chakula ni kugawana
7.Heshima ni kuheshimiana
9. Uzuri ni kukubaliana
10. Vicoba ni kukopeshana

11. Kula ni kulana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom