Bhana eh! Hilo suali la utamaduni wa Mtanzania ni upi na hayo tunayoita maadili ni yapi, but trust me, hili swal sijawahi kujibiwa kabisa labda waje hapa akina brave one watusaidie sie vilaza!!Nakuunga mkono Chige.
Hata kama kuna wimbo unaimba to.mba to.mba hakuna haja ya kufungia kwanza huo utamaduni wa Mtanzania uko wapi!! Au tunaigiza tu. Kazi ya Basata isiwe kutafakari matusi kwenye wimbo kazi yao iwe ni kusikiliza mtiririko wa wimbo na melody basi
Na mimi hawa jamaa, husasani Bodi ya Filamu, mwaka wowote tutapelekana tu mahakamani manake nina nyege sana ya kutengeneza political thriller series! Ingawaje sikusudii ku-base upande wowote politically, but am sure kama nitaanza kupeleka script Bodi ya Filamu basi script yangu wataipiga chini na kama nita-produce bila kupeleka script, am certain watanifungia!
Lakini watanifungia sio kwa sababu kutakuwa na sababu za msingi za kunifungia bali hawa jamaa, both BASATA & Bodi ya Filamu hawaijui kabisa sanaa!! Hawajui kabisa kufanya artistica interpretation na matokeo yake, huwa wanayatafsiri maudhui kama yalivyo... in a very layman way!!