Shairi: Aina ya Wanaume wanaopendwa na wanawake

Shairi: Aina ya Wanaume wanaopendwa na wanawake

Bahari ya vina, nishalipuka napiga nyeto kuhusu mademu hizo habari mi sina.../

Huu mchezo wa mapenzi sitegemei kabisa kua wina, nimekosa vigezo vyakushiriki kwasababu ya upina.../

Ukiwa na pesa mbona mambo ni mwake, maana hicho ndio kigezo wanachokitaka wanawake.../

Ukiwa real na huna pesa hata busu waweza usipate, na ukiwa naye ukiskia katoka na kigogo usidate.../

Utafanya nini ukiskia anatoka na afande, ana nyota mwilini ukimgusa unaozea rumande.../

Huna namna mwana yakubidi usande, jikoki na machizi kupoza stress huku ukila gambe.../

Wanawake hupenda ku-cheat na wanaume wakatiri, wale wenye skendo za mauaji na matukio ya kijangili.../

Walioshindikana na wazazi hadi katika nyanja ya serikali, sa utamzingua vipi mtu huyo huoni kwamba ni hatari.../
Cc Super Villain
 
Back
Top Bottom