Shahidi wa leo Askari namba H4323

Shahidi wa leo Askari namba H4323

Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

namshauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Wewe kinyaa sana. Hivi unayoyasema umeyapimia kabla ya kuya SEMA? Unauhakika na maneno yako? Ili usitukanike Tia ushahidi ili tukuamini kuwa NI mtengeneza hayo uliyo yaanika. Kinyume cha hapo wewe ndio wale mliokiwa mmetengenezwa na Marehemu kuaminisha kuwa kugawa pesa mabarabarani ndio uzalenddo. Lakini Yule kaenda zake. Halafu kumbe wewe ndio ulimuandikia Shahidi msemo ya kusema mahakamani. Kwendàaaaaaaaaa. Kichefuchefu wewe.
 
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.

Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Umesahau na ya kutanguliza toroli mbele badala ya farasi.
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Mavi matupu
 
Jadili maana ya zile law jargons, hapa cihitaji maoni yako, najua wengine mko kazini, wengine tunataka kujifunza na kushuhudia
 
Terminology za kuombea rushwa na Terminology za kisheria ni ngumi sana kukidhi hitaji uliloelekezwa.
Hivi kwani kwenda kutoa ushahidi ni lazima?
Upande wa serikali ni lazima,maana kwao KILA kitu ni order ,Sasa police atakataaje wakati ni order kutoka KWA mkubwa wake, ? Msioni hivi Kuna watu wanapata shida Sana, unalazimika kwenda kusema kile wanataka bila kujali ni uongo, matokeo yake unapata aibu wewe, huku waliomtuma wakilinda nafasi zao
 
Umesahau na ya kutanguliza toroli mbele badala ya farasi.
Sawa sawa hilo lina maanisha nini kwa lugha zetu za layman......jama hawakulitegemea unaleta je barua kua ushahidi wakati adressee ni mgine office tofauti na yako, na ujaeleza mchakato wakuiomba hiyo barua kwa original adressee
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Wakala wa shetani ndani ya kanisa .Leo ni Sabato acha unafiki twende Mbinguni.Hela za Lumumba zinapita.
 
Terminology za kuombea rushwa na Terminology za kisheria ni ngumi sana kukidhi hitaji uliloelekezwa.
Hivi kwani kwenda kutoa ushahidi ni lazima?
Ukiwa shahidi wa jamhuri ukikataa wanakuzingua wanaweza hata kukuteka,yule dada mwanasheria wa airtel aliwagomea mpaka leo ila mkwara aliopewa atakuja tu kutoa ushahidi
 
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.

Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Jargon (special words or expressions used by a profession or group that are difficult for others to understand)- is a tool of stupid and incompetent expert to conceal their irrelevancy
Jargon can waste time and money
1636779226423.png
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
MBOE ni nani?
 
Jargon (special words or expressions used by a profession or group that are difficult for others to understand)- is a tool of stupid and incompetent expert to conceal their irrelevancy
Jargon can waste time and money
View attachment 2008598
Hizo jargons zilikua relevant sana, hata ws chavule ulishindwa kudhibitisha competency ya barua na competency ya Shahid, ile pre-requisite tendering procedures haikufuatwa, ndo maana Kibatali aliwakejeli kwa kusema wametanguliza troli farasi akawa nyuma, huwezi kuleta barua kama hiyo bila kutanguliza authotification yake.
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Em inua mkono mmoja kuelekea mwisho wa mwili wako kwa juu uone kweli pana kitu cha duara chenye nywele nywele maana ulivyoandika hapa umeandika as if kichwa umekifungia kabatini.
 
Leo ni Jumamosi ya Novemba 13 ya mwaka 2021- KWA AMRI YA KIBATALA PINGA
 
Kwa mboe ni sawa,
Ila Mbowe sio sawa.. Endeleeni kumtesa tu huko magereza kwani mtaishi milele kwenye hii dunia, hivyo kuchukua furaha za watu wanaoenda tofauti na mawazo yenu imekua ni kawaida kwenu
 
Em inua mkono mmoja kuelekea mwisho wa mwili wako kwa juu uone kweli pana kitu cha duara chenye nywele nywele maana ulivyoandika hapa umeandika as if kichwa umekifungia kabatini.
Mbowe ni kama Baraba
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka.
7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.
9Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”
10Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
11Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.

Kwa wingi wenu
  1. Jamii Forum
  2. Twitter
  3. Maria space
  4. Jopo la KIbatala linalozidi la Serikali mara 10
  5. Prof. Jay
Mnalilia kwa sauti mfungulie Baraba (Mbowe)
 
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.

Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Unadhani mzee wavilipuzi/balistic/utalii atapanda tena kwenye kajukwaa kalikosulubu au mzee wa chabo/kikalamu /kibuku🏃.
 
Leo ni Jumamosi ya Novemba 13 ya mwaka 2021- KWA AMRI YA KIBATALA PINGA
Mbona umeanza kua irrelevant mkuu, mbona umeleta hemko tena, naomba tujadili zile jargons tuone relevancy zake kwenye hiyo kesi
 
Back
Top Bottom