Shahidi wa leo Askari namba H4323

Shahidi wa leo Askari namba H4323

sasa jiulize hao ulio wataja leo hii wapo na huyo mboe au wamemkimbia?!

jiulize kwa nini Dr. Slaaa alimkimbia mboe?
Dr. Slaa alijitoa kwa kwa hali na familia yake kukijenga chama hadi mke wake alimwaga damu kwa ajili ya CDM ambapo hata mke wa mboe tu hajawahi hata kupanda jukwaani.
sasa jiulize kwa nini Slaa alimkimbia mboe?
wote hao wamekimbia matendo ya kihalifu ya mboe na genge lake.
tumia akili yako kufikiria acha kufuata mkumbo.
mboe ni mhalifu aliye kitumia chama cha kisiasa ili kuficha uovu wake, ila sasa kadakwa.
Kwanza unaharibu majina ya watu huyo mboe Mimi simjui ila namjua Mbowe halafu huwezi sema wamemkimbia Mbowe maana Chadema sio Mbowe au Mbowe sio Chadema so kila mtu anaangalia maslahi yake siasa kwa Tanzania ni ajira bro
 
Ukiondoa yule muuza mbege pale Rau, hivi mashahidi wote ni ma karau ?
 
Ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
Unaweza kutoa mfano wa hao wafuasi?

Unaweza kutoa hapa vigezo vya kukosa kwao uzalendo? Na wewe unaposema uzalendo unamaanisha nini?

Ametengeneza Akina nani na tabia gani kwao za hlkihalifu?

Uhalifu unathibitishwa mahakamani. Nani kati ya hao unaohisi ni wahalifu wamethibitishwa kwamba ni wahalifu mahakamani.

Tuambie wewe Elimu yako ni darasa la Nne au la tano?
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
 
Andiko lako ni kipuuzi Sana na linakudhalilisha mwenyewe! Namshangaa Pascal Kwa kukuunga mkono naye niseme kajidhalilisha pia!
Mbowe na siyo Mboe la useme Kama unamsema mtu mwingine tofauti!
Kama unamaanisha Mbowe basi umemkosea adabu mno kwani kiuhalisia kawatengeneza vijana wengi wazuri kiutendaji ambao wengi wao ccm imewachukua na kuwapa ajira. Kama wangekuwa na sifa ulizozitaja wasingeajiriwa na ccm na kuwapa vyeo vikubwa Kama mawaziri na maded na madas. Huo ni ushahidi na SoMo tosha kuwa huko ccm mmejaa mazuzu TU Hadi cdm inawaazima watendaji! Ilibidi uwaambie hao ccm madebe shinda waanze kujitengeneza kiuongozi na sio kuishabikia Kila ngumi mnayopigwa na cdm!
Itafute orodha ya vijana viongozi ambao ni zao la Mbowe chini ya cdm waliopo kwenye serikali ya ccm angalau ujiridhishe na Kisha ujisahihishe!
Mbowe ni chimbuko la viongozi Bora kuwahi kutokea baada ya ccm kufunga vyuo vyake vya uongozi hasa kivukoni!
Rejea nzuri ni Kitila, Katambi, Zitto,ngedere na yule chapombe mura!
 
Hao wote ulio wataja na wengine wengi ni watu walio kuwa wanajielewa hata kabla ya kujiunga CDM, walikuwa na uwezo wa kutafakari na kuhoji.

Mara walipo baini kuwa mboe na genge lake wana mipango haramu/miovu dhidi ya Serikali walimkimbia na wengine walijitenga naye kabisaa. wamebaki watukutu.

Utukutu, Ununda na ukatili wa kila aina ndio ilikuwa sifa kuu ya kuwa mfuasi wa karibu wa mboe.

Nasema hivi;
mboe alifanikiwa kupandikiza tabia za kihalifu/uovu/utukutu/ujambazi/uuzaji dawa za kulevya/kwa wafuasi wake, aliwaaminisha hao wafuasi wake kuwa ukiwa mkorofi na mtukutu ndio ujasiri wa kuitisha Serikali.

ndio maana leo hii wafuasi wa mboe utakuta kazi yao kubwa ni;

1.kuwatukana na kuwadhalilisha viongozi mbalimbali wa Serikali.

2. Kufurahia na kukejeli inapo tokea kifo/vifo vya viongozi wa Serikali na wakati mwengine huombea viongozi wa Serikali wakumbwe na vifo.

3. Kuvunja Sheria kwa maksudi, na kufanya ukaidi kwa Askari Polisi na Mamlaka mbali mbali.

4. kuzua taharuki ktk jamii kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi.

5. Kuombea mabalaa na majanga yaikumbe nchi na pindi majanga yanapo ikumba nchi basi wafuasi wa mboe huwa mstari wa mbele kukejeli na kudhihaki

Mambo ni mengi sana ambayo yote hayo mboe kayapandikiza kwa wafuasi wake wengi.
ndio maana nasema huenda CDM ikabadilika na kikawa chama kizuri endapo tu Mwenyekiti atabadilika asiwe mboe hafai kabisaa.
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Hao unaowaita hawana uzalendo wamelitumikia taifa katika mission mbalimbali za kijeshi wakati huo wewe ukiwa kwa mume wa dada yako umelala kwenye sofa unamaliza juice kwenye friji
 
lakini mzee mboe akawa RUBUNI akwaingiza kwenye matatizo.
ona sasa jamaa wanavyo teseka...kisa uchu wa mboe.
vijana tusikubali kutumiwa kama ngazi na wanasiasa waovu ili kutimiza malengo yao kama mboe alivyo watumia hao kina Lingwenya.
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.

Nikajua umeshapona..ona sasa unachoandika huku. Tutawasiliana na ndugu zako wakurudishe Hosp
 
Back
Top Bottom