Shahidi wa leo Askari namba H4323

Shahidi wa leo Askari namba H4323

Askari kuwa shahidi sio la ajabu hilo,Kazi ya askari ni kupokea amri.Anaweza amriwa hata na wakubwa zake akatoe ushahidi
 
Wewe kinyaa sana. Hivi unayoyasema umeyapimia kabla ya kuya SEMA? Unauhakika na maneno yako? Ili usitukanike Tia ushahidi ili tukuamini kuwa NI mtengeneza hayo uliyo yaanika. Kinyume cha hapo wewe ndio wale mliokiwa mmetengenezwa na Marehemu kuaminisha kuwa kugawa pesa mabarabarani ndio uzalenddo. Lakini Yule kaenda zake. Halafu kumbe wewe ndio ulimuandikia Shahidi msemo ya kusema mahakamani. Kwendàaaaaaaaaa. Kichefuchefu wewe.
[/QUOTE
Askari kuwa shahidi sio la ajabu hilo,Kazi ya askari ni kupokea amri.Anaweza amriwa hata na wakubwa zake akatoe ushahidi
Ndio sababu hata na chabo za usaidizi zinatumika sio🤸.
 
WEWE UNAZIELEWA
Daah wakala wa shetani (CCM)mmebaki wachache hapa jukwaani.

Hakika Mungu ni mwema,Kuna watu wamefunga na kuomba Kwa ajili ya kesi hii na 'anga 'limechafuka uovu umeanza kuonekana !

Ahsante Mungu
 
Kama Shahidi wa kwa na wa pili walipwaya kiasi kile tusitegemee serikali kuleta shahidi bora zaidi yao. Things are likely to get worse.
 
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.

Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Jiambie kwamba umjinga

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kama Shahidi wa kwa na wa pili walipwaya kiasi kile tusitegemee serikali kuleta shahidi bora zaidi yao. Things are likely to get worse.
Tayari walisha taja kwamba wataleta mashahidi 23, kwahiyo lazma waletwe wote au kesi ifutwe, sasa hivi kufuta kesi sio rahisi kwasbb imeanza kusikilizwa, na kesi ikianza kusikilizwa manaake ushahidi mnao wa kutosha, kwahiyo mambo bado magumu kwa upande wa Jamhuri
 
Nionavyo mimi kuhusu yanayoendelea mahakamani.

Mawakili, hasa wa upande wa utetezi wanafanya kazi kwelikweli, na wala hakuna kuzembea. Wako 'alert' wakati wote mahakamani. Naomba mwenye ushahidi wa ofisi yoyote hapa nchini wafanyakazi wanapokuwa kazini ofisini wanajibidisha na kazi zao wakati wote kama wafanyavyo hawa mawakili.

Nidhamu hii ya kazi ingekuwa imeenea katika kila ofisi, nchi hii tungekuwa tupo mbali sana.

Pili, hawa mawakili wanaijua kazi yao barabara na taratibu za kazi hiyo. Hawabahatishi.

Tatu, inaonekana maandalizi kabla ya kazi kwao ni muhimu zaidi, kwa hiyo ni lazima wawe na 'discipline' ya kujituma na kutumia muda wao (time management) vizuri

Maswali ni haya haya, ni ofisi ngapi zina wafanyakazi wenye mwamko wa aina hii makazini kwao?

Mimi napendekeza: Pawe na utaratibu wa nyanja mbalimbali kuonyesha umahiri wao wa utendaji kazi wao ili ushuhudiwe kama tunavyoshuhudia kwenye kesi hizi.

Kwa mfano: Walimu wa ngazi mbalimbali nao siku moja moja wapewe ukumbi watuonyeshe umahiri wa utendaji kazi wao. Hivyo hivyo na Manesi, Madaktari, ma-engineer, n.k., n.k.
Ni namna tu ya kupanga jinsi mawasilisho kwa jamii yatakavyofanyika.
Umesema kweli yote kazi yoyote ili uifanye kwa ufanisi lazima umaanishe jamaa wa Utetezi nadhani wanafanya utafiti wa kutosha sana so wakija court room wanakuwa wako full tofauti na watu wa Serikali angalia hata kwenye makampuni private na Government unaona utofauti so ile kesi mpaka sasa Serikali wameanza kupoteana sina hakika kama wataleta mashahidi wote ngoja tusubiri

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Naona umejipinda kuandika upupu, lakini umefanikiwa kupata LIKE ya Pascal Mayalla
 
Zuzu katika ubora wake.Mboe ndio nani
 
Right of expression ipo shida fulani katika mahakama zetu in Tanzania legal system hii ni kutokana na kurithi sheria za kikoloni mfano mzuri kwenye hii kesi mashahidi upande wa mashitaka kibatala amekuwa akitumia njia mbalimbali kama scandals na ku injure kwa kiasi kikubwa sana yaani amekuwa akihakikisha shahidi hapati nafasi ya kutoa ushahidi kabisa atampanikisha mpaka ashindwe kutoa ushahidi yaani natural justice hakuna kabisa yaani wakili anapotosha kesi live kabisa, kuna umuhimu wa kufanya marekebisha ya sheria ya ushahidi hasa katika suala zima za kumlinda shahidi awe free kwenye utoaji wa ushahidi kazi ya mahakama iwe ni katika kupima uzito wa ushahidi uliotolewa sasa hizi mbwembwe za mawakili ni kufanya ukweli uonekane uwango na uwongo uonekane ukweli.
 
Anachokifanya kibatala ni mbinu ya kuharibu ushahidi hata kama ni wa ukweli unasambaratishwa. Hii wanasheria tunaijua sana ,na ameharibu kwelikweli,ushahidi wa upande wa mashtaka umekua damaged kiasi cha kutowezekana kutumika .
 
not beyond cure
 
Right of expression ipo shida fulani katika mahakama zetu in Tanzania legal system hii ni kutokana na kurithi sheria za kikoloni mfano mzuri kwenye hii kesi mashahidi upande wa mashitaka kibatala amekuwa akitumia njia mbalimbali kama scandals na ku injure kwa kiasi kikubwa sana yaani amekuwa akihakikisha shahidi hapati nafasi ya kutoa ushahidi kabisa atampanikisha mpaka ashindwe kutoa ushahidi yaani natural justice hakuna kabisa yaani wakili anapotosha kesi live kabisa, kuna umuhimu wa kufanya marekebisha ya sheria ya ushahidi hasa katika suala zima za kumlinda shahidi awe free kwenye utoaji wa ushahidi kazi ya mahakama iwe ni katika kupima uzito wa ushahidi uliotolewa sasa hizi mbwembwe za mawakili ni kufanya ukweli uonekane uwango na uwongo uonekane ukweli.
Sasa mkuu Cross examination ndo kuwatisha au intimidation, maelezo yako sio sahihi kwa kesi hi hao mashahidi wako beyond intimidation ni ma ofisa wa kuu wa police,......naona wameshindwa kukidhi technicalities za sheria.
1. Utaweza je kuleta barua isio kua ya kwako kama adressee ni mgine alafu anataka kuitetea wewe.
2. Uteleta je register doc ambao tayari ulisha u submite mahakamani.
3. Utakaaje na dairy simu pamoja na kalamu kizimbani.
Kwahiyo hao ni mashahidi wa kubumba au mawakili wa serikali hawaja jipanga vizri kwenye hi kesi. Paka sasa hamna ushahidi valid wote umeshatiwa mashaka, lbda kwa wengine watakao kuja
 
Right of expression ipo shida fulani katika mahakama zetu in Tanzania legal system hii ni kutokana na kurithi sheria za kikoloni mfano mzuri kwenye hii kesi mashahidi upande wa mashitaka kibatala amekuwa akitumia njia mbalimbali kama scandals na ku injure kwa kiasi kikubwa sana yaani amekuwa akihakikisha shahidi hapati nafasi ya kutoa ushahidi kabisa atampanikisha mpaka ashindwe kutoa ushahidi yaani natural justice hakuna kabisa yaani wakili anapotosha kesi live kabisa, kuna umuhimu wa kufanya marekebisha ya sheria ya ushahidi hasa katika suala zima za kumlinda shahidi awe free kwenye utoaji wa ushahidi kazi ya mahakama iwe ni katika kupima uzito wa ushahidi uliotolewa sasa hizi mbwembwe za mawakili ni kufanya ukweli uonekane uwango na uwongo uonekane ukweli.
Well. Lakini vipi unaongeleaje ile notebook ,pen, na sm kizimbani?
 
Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Umeanza kuaibika sasa umebaki na mapovu, shairi ndefu contents zero.
 
Mbowe ni kama Baraba
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka.
7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.
9Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”
10Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.
11Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.

Kwa wingi wenu
  1. Jamii Forum
  2. Twitter
  3. Maria space
  4. Jopo la KIbatala linalozidi la Serikali mara 10
  5. Prof. Jay
Mnalilia kwa sauti mfungulie Baraba (Mbowe)
Mmebaki kujieleza kwa huduma sana! Serikali dhalimu ya chama dhalimu ikiaibishwa na mahakama waliyoitegemea kuhalalisha udhalimu wao. Detention register imepigwa chini, Na hiyo barua ya Msemwa itapigwa chini na huenda shahidi Msemwa akapigwa chini baada ya kuingia na makabrasha kizimbani. Mungu ni mwema kiLa wakati.
 
Back
Top Bottom