Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Inawezekana kabisa na nyumbani kwake wanajua yupo zamuUkute Yuko rumande muda huu.
Inawezekana kabisa na nyumbani kwake wanajua yupo zamuUkute Yuko rumande muda huu.
Hasa pale unapokuwa unapambana na mawakili wenye akiliKuutengeneza uongo mahakamani ni kazi
Hakukuwa na kitu kama hicho! Kesi ya kitapeli tu.Halafu dhambi ya ugaidi ya Mbowe inakuwa imefutika?
Masikini ya MunguPossibly yes au in a long run "akapotea"
Mzee wa Mitulinga kaupiga mwingi kwa kutoa pasi ya maana kwa Kibatala .Wakati kesi inaanza kabla ya yeye kupanda kizimbani Profesa Jay alimuona shahidi yuki bize akifanya homuweki, Profesa Jay ikabidi amtonye Kibatala kuwa mjamaa ana dayari na yuko anamalizia tusheni, naye akasema nitampandia hukohuko kizimbani baada ya kiapo ili mmiliki wa shule, hedimasta Sirro na walimu wake wajue.
Kama kutakuwa na shahidi walio mtoa mitaani usishangae akawa ashatimuka kitamboWameanza kuaibika yaaani upande wa silikali wameamza kupoteza mwelekeo mpaka wafikishe mashahidi 15 itakuwa kazi kwelikweli
Wewe mwenyewe unajitoa kwenye hilo kundi?Hili taifa sasa hivi lina vijana vya ovyooo. Ni mihemko tu kea kwenda mbele
Unaweza kufungwa kwa kushindwa kutoa ushahidi?Ndio ni lazima kwenda Kama ulishaahidi kwenda. Ukikataa kwenda mahakama inatoa amri ya kukamatwa.
KwahiyoMboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.
1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.
angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.
Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.
nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Hajui mkuu ,ameyakuta tu maandamano hajui anaandamania Nini?MBOE ni nani?
sasa jiulize hao ulio wataja leo hii wapo na huyo mboe au wamemkimbia?!Ni kweli kabisa mbowe kategeneza vijana watukutu nikuongezee kwenye list
Zito
Joshua nasari
Kafulila
Halima mdee
Ester matiko
Profesa mkumbo
Nk, nk
Ndio aliyekuita umtolee ushaidi anaweza kuiomba mahakama ikuchukulie kama hostile witness. Na ukijichanganya unaweza end up in lock up in the long run.Unaweza kufungwa kwa kushindwa kutoa ushahidi?
Shukrani mkuu kwa elimu muhimuNdio aliyekuita umtolee ushaidi anaweza kuiomba mahakama ikuchukulie kama hostile witness. Na ukijichanganya unaweza end up in lock up in the long run.
You are absolutely right. That's why they refer to themselves as learned colleagues.Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno kwa upaana.
Shahidi sio competent and letter lacked competence, with no pre-liquisting tendering,
The document was not authenticate lacked unique features that is a mojor criteria of authotification, the letter had no factual expedition it was legal but not ego. Maamuzi yalikua critism and not permissive, huyu kibatali atafanya mashahidi kugoma kurudi akiendelea na hizo law jargons zake,
Sasa mkuu kwako kipi hapo kimefanikishwa? Kupata ushahidi bila shaka uko wapi hapo so far "water tighty evidance" ni zero
Jamaa hana shida ndugu angu, labda hujamsoma tu! Anaponda mapolisi na sub zao!Elezea kama hivyo vitu alivyonyang'anywa vinaruhusiwa mahakamani. Usihirojoke na magongo yenu ya kutunga
Subiri Jumatatu utaiona.impact yake ni ipi?
sawa nasubiri kwa hamuSubiri Jumatatu utaiona.