Shahidi wa leo Askari namba H4323

Shahidi wa leo Askari namba H4323

Mboe ana dhambi kubwa sana Mbele ya Mungu na kwa watanzania wote.

1. miaka yote ya uenyekiti wake alikuwa akiwatengeneza vijana watukutu wenye tabia za kihalifu, kama vile; ujambazi, uzaji madawa, matusi, ukorofi wa kuto kutii sheria, kuto kuheshimu mamlaka n.k.

angalia alivyo wapotezea maisha kina Lingwenya, mohamedi, Halfani, Adam....huyo mdio mboe na mipango yake miovu.
kama isinge kuwa njama ovu za mboe leo hii hawa jamaa wasingekuwa wanateseka mahabusu mpaka leo....ila yote hayo ni tabia za kihalifu za mboe.

Pia ukiwachunguza baadhi ya wafuasi wa mboe utagundua kuwa hawana kabisa chembe ya uzalendo kwa nchi yao na hili ni kutokana na jinsi Mboe alivyo watengeneza kwa kuwapandikizia tabia za kihalifu kwa nchi yao.
hii ni dhambi kubwa aliyo ifanya mwenyekiti mboe kwa wafuasi wake.

nawashauri wafuasi wa mboe mboe wabadilike.
Tanzania ni nchi yetu sote na itaendelea kuwepo hata kama mboe hayupo hivyo ni lazima tuipende na kuilindi nchi yetu.
Ni kweli kabisa mbowe kategeneza vijana watukutu nikuongezee kwenye list
Zito
Joshua nasari
Kafulila
Halima mdee
Ester matiko
Profesa mkumbo
Nk, nk
 
😁😁😁
image17542.png
 
Mmebaki kujieleza kwa huduma sana! Serikali dhalimu ya chama dhalimu ikiaibishwa na mahakama waliyoitegemea kuhalalisha udhalimu wao. Detention register imepigwa chini, Na hiyo barua ya Msemwa itapigwa chini na huenda shahidi Msemwa akapigwa chini baada ya kuingia na makabrasha kizimbani. Mungu ni mwema kiLa wakati.
Halafu dhambi ya ugaidi ya Mbowe inakuwa imefutika?
 
Anachokifanya kibatala ni mbinu ya kuharibu ushahidi hata kama ni wa ukweli unasambaratishwa. Hii wanasheria tunaijua sana ,na ameharibu kwelikweli,ushahidi wa upande wa mashtaka umekua damaged kiasi cha kutowezekana kutumika .
Je una uhakika Kama kweli ushahidi unaotolewa uko sahihi kwa asilimia zote? Sasa Kama Kuna chembe ya uongo kwenye ushahidi ndo hapo wakili anambana!

Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
 
Anachokifanya kibatala ni mbinu ya kuharibu ushahidi hata kama ni wa ukweli unasambaratishwa. Hii wanasheria tunaijua sana ,na ameharibu kwelikweli,ushahidi wa upande wa mashtaka umekua damaged kiasi cha kutowezekana kutumika .
In general, three types of evidence will typically be offered at trial:
  1. testimonial evidence (statements of witnesses on the stand);
  2. physical evidence (such as a murder weapon or a charred item from an arson);and
  3. demonstrative evidence (such as a chart showing steps in an embezzlement conspiracy). Each type of evidence is subject to a credibility challenge.

sasa mkuu uliharibiwa ni upi hapo?
 
Sasa mkuu kwako kipi hapo kimefanikishwa? Kupata ushahidi bila shaka uko wapi hapo so far "water tighty evidance" ni zero
 
Tatizo polish wetu ni 'fomfo feliazi' wakaungaunga kozi na ku-reseat mitihani alafu wanakutana na mawakili wenye first class na degree zao hons!!saitakuaje unadhani!
Mtu anaingia na kikaratasi achungulie majibu alofundishwa...
 
Terminology za kuombea rushwa na Terminology za kisheria ni ngumi sana kukidhi hitaji uliloelekezwa.
Hivi kwani kwenda kutoa ushahidi ni lazima?
Kwa muajiriwa wa serikali huna njia ya kukwepa
 
Niliangalia series moja kama sijasahau ni Legal Boston, kuna sehemu mshtakiwa anamuuliza mwanasheria wake, sijui nitasema nini Mahakamani, jamaa akamuambia “Sema ukweli”
Hiyo ndiyo dawa pekee
 
Back
Top Bottom