Shahada halisi aliyopewa mkwere

Shahada halisi aliyopewa mkwere

Hujaona kitu kwasababu ya internet browser ya PC yako. Click hiyo link halafu juu kulia kutakuwa na link (maelezo) yafuatayo unayotakiwa ku-click hapo: "Click here if your browser does not automatically redirect you". Baada ya hapo utaifikia attachment yenyewe
 
mkuu ukifungua hiyo attached hakuna kitu
 
Unamaanisha kuwa alipewa BLANK PHD (PHD HEWA) ama vipi kwani attachment yako haina kitu!!!!!!
 
Kamanzi usitusumbue....JK hana Ph.D yoyote.Wanaomwitw Dr. wote ni mamluki,wahamiaji na wanaohitaji kwenda Loliondo
 
Nadhani Kamanzi kamaanisha blank phd kama kweli ipo maana hata mie attachment haina kitu!
 
sema wakusaidie kufanya attachment. kwanza kuweka picha ktk word documents ni...old school
 
kweli hakuna attachments, but it perhaps mean that JK got a blank Phd
 
Salute, Nimeiona mkuu.. Bila Microscope haoni mtu, ha ha haaaaa!
 
.doc litatuletea mavirus tu hapa, weka picha.
 
Back
Top Bottom