Shahada halisi aliyopewa mkwere

Document ipo ila haina content (blank). Ujumbe ni kwamba ana PHD hewa.
 
nshaanza kustuka mbona haiji? Mbona hi hola tu inakuja microsoft word tupu, nimestukia kama huyu bwana hajatutumia hackers!
 
Mh! inawezekana computer zetu wote ni vimeo!!!

Namuona Sheikh yahya akimpa karatasi nyeupe nae akipiga magoti. Wote wamevaa nguo nyeupe. na wamezungukwa na maji meupe. Angaalia vizuri.
Badilisha contrast ya computer utafanikiwa.
 
hakuna ict technician jiran yako akupe msaada naona unatuumiza macho tu na documents zako hewa
 
Back
Top Bottom