Shades of sins: Lowassa v/s Membe, Zitto v/s Dr.Slaa

Jamani mi katiba hii mbovu ya sasa sijawahi kuisoma, Nasema ivyo kwa sababu imekuwa kawaida kwa mgombea mwenza wa Urais anatokea upande mmoja wa muungano hususani zanzibar.Sasa sijui ni makubaliano tu ili kudumisha muungano huu tete ulioiua Tanganyika yetu au ni kwa mujibu wa katiba iliyopo. Ila vyovyote iwavyo na kama mchakato wa katiba mpya utarekebisha mambo ya UMRI [ Kwa ndugu yango Zitto] na hili suala la mgombea mwenza lisiangaliwe kama sasa ivi kimuungano-muungano Napendekeza ZITTO ZUBERI KABWE [ZZT]awe mgombea mwenza wa Dr. Slaa na au hata Mbowe vyovyote vile.
All these are big guns kwa ccm,achilia mbali mambo mbalix2 yanayosemwa juu ya ZZK,i still see him a threat to ccm.
Nazan ikiwa hivyo kampeni zitanoga sn, maana wkt slaa/mbowe anashambulia south ZZK yuko north, slaa/mbowe yuko east , ZZK yuko west.slaa/au mbowe anaongoza kikosi cha anga , ZZK/ anaongoza kikosi cha infantry.
Nawakilisha.

ni mawazo mazuri, yafaa kufanyiwa kazi na wahusika.
 
Back
Top Bottom