Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,969
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda

Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda

Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.

Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,
images (81).jpeg
 
Mwambie Shebby apambane ajikaze.

Hiyo picha haina uhusiano wowote kutofanya vizuri uwanjani.
Basi mwambie aitumie kupata pesa Kama dogo wa vichekesho. Mwenzie anapata deals za matangazo kupitia hiyo picha.
Kajiongeza kaenda kuweka bango Dodoma la hiyo picha, hakuwa bahili kalipia pesa kuweka bango ili apate pesa.
 
Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda

Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda

Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.

Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani yuko wapi,View attachment 3291784
kwahiyo alirogwa usiku huohuo?
 
Ukiangalia hiyo picha japo sio ya mda mrefu ila 80%ya wachezaji hawapo tena kwenye hii team iliyofungwa Jana huko kwa farao
Ilikuwa Simba day hata yale magarasa yalipiga hiyo picha,kumbuka kikosi kizima cha wachezaji 30
 
Sasa hata hajulikani yuko wapi,
Umeripoti hili tatizo kwa mzee wa upako?

Hebu fika pale kibangu jioni ya leo ukiwa na picha ya Chilunda kuna ibada ya maombezi kurejesha vilivyopotea.

Usisahau kubeba sadaka ya laki tatu.
 
Umeripoti hili tatizo kwa mzee wa upako?

Hebu fika pale kibangu jioni ya leo ukiwa na picha ya Chilunda kuna ibada ya maombezi kurejesha vilivyopotea.

Usisahau kubeba sadaka ya laki tatu.
Mzee tapeli yule
 
Back
Top Bottom