Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Master Jay naye havumi lakin yumo, you eat where you work kwelii
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua
anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema
ila master namuaminia wallah
ah..ah.ah..niliwahi kusoma mahala aliulizwa hili suala akakataa...
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua
anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema
ila master namuaminia wallah
Kwa iyo
Muwe mnawapikia wapenzi wenu kama Master Jay anavyompikia
Ila analipa kimtindo,
anaonyesha ni fundi sana kunako 6x6[/QUOTE]
apo kwenye red umetumia vigezo gani?
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua
anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema
ila master namuaminia wallah
Sound dizaini hiyo ukizi-frame vizuri, zinakuwa mbolea sana tu manake bi mdada ndo lazima akuhurumie "mhanga/muathirika" mwenzake! Na ukitaka matokeo ya faster, lazima utie maneno "sio siri Shaa, yaani hapa hata kuwa na demu kwa sasa naogopa ile mbaya, hata kufikiria sijafikiria kabisa..." kudadadeki, unampa hizo sound kumbe unamlia mingo na jana yake tu umekula mzigo!wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"Mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee
ujauzito ndio umemfanya aseme
apo kwenye red umetumia vigezo gani?
Hizi za Kujifanya na wewe umetendwa nishazitumiaga sana kipindi fulani kwenye beach zetu hizi.Sound dizaini hiyo ukizi-frame vizuri, zinakuwa mbolea sana tu manake bi mdada ndo lazima akuhurumie "mhanga/muathirika" mwenzake! Na ukitaka matokeo ya faster, lazima utie maneno "sio siri Shaa, yaani hapa hata kuwa na demu kwa sasa naogopa ile mbaya, hata kufikiria sijafikiria kabisa..." kudadadeki, unampa hizo sound kumbe unamlia mingo na jana yake tu umekula mzigo!