Shaa afunguka mengi kuhusu mapenzi yake na Master Jay

sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua

anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema

ila master namuaminia wallah

We nae kila kitu unajua, ulianza na wale fashionists asubuhi na sasa uko na Shaa.
 
Duh ila sio siri shaa halipi hana ata nyama kwa nyuma,sura ngumu,mweus kama mpoki
 
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua

anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema

ila master namuaminia wallah

Unamuaminia in what sense? Are you of the same feathers with Shaa?
 
Back
Top Bottom