toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,562
- 3,224
mkuu sikuzote kila mtu hufanya biashara yenye kumletea faida kwa haraka... umeona faida iliomleteaa kwa haraka? kupitia ubovu wa ndege anawezaa kawaa anapata bilioni 1 na nusu kwa kila ndege itakayoenda kutengenezwa.. hivi nadhani alikua anajisikiaje alipokua waziri wa ujenzi na pia uvuvi kuona watoto wa kikwete wakina ridhiwan wakitamba mtaani na magari na kutanua pesa richmond epa na ufisadi kibao uliofanyika unadhani hata yeye alikua hapendi? alikua anapenda sema alikua hayupo kwa connection hivyo basi anautumia muda huu na yeye kuchukua vyake mapema. maana anajua Tanzania ni shamba la bibi anakuja kwa kisingizio cha uzalendo kumbe ni fisi alievaa ngozi ya mbuziTuliisha mwambia madege hayawezi hasara juu ya hasara.akalipe watu was korosho kwanza ndo ayapeleke huko
Sent using Jamii Forums mobile app