Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

....lets assume kila baada ya miaka miwili inafanyiwa check up..kila baada ya miaka miwili unaspend >13.9 billions wakati unaingiza billion 4.5..wewe unaona ni sawa???
You smarter than that.. google Air Tanzania profit.... 4.5bn a month... more than 10 different media zimetaja a month
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.
Nchi ya Wanasiasa
 
Wewe Ndege zetu zinakuhusu nini? Hata kama ni hasara bado ni zetu, go hang!

Mimi hizo ndege nimezipa mpaka 2022 kuja kufanya tathmini, kwani katika watu ambao sikuafiki kununuliwa ndege kwa sasa ni mimi. Bado naamini kilimo ndio kilipaswa kupewa fedha hizo kwanza. Nakumbuka ulitoka mishipa ya hatari. Kwa sasa nasubiri tu kwani nikitoa tathmini sasa nitakuwa sitendi haki. 2022 tutakutana hapa kama Mungu atatuweka hai.
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.

Wewe ndio CAG ?
 
Audited report ya hizo 4.5b imeshatoka!?
 
Mimi hizo ndege nimezipa mpaka 2022 kuja kufanya tathmini, kwani katika watu ambao sikuafiki kununuliwa ndege kwa sasa ni mimi. Bado naamini kilimo ndio kilipaswa kupewa fedha hizo kwanza. Nakumbuka ulitoka mishipa ya hatari. Kwa sasa nasubiri tu kwani nikitoa tathmini sasa nitakuwa sitendi haki. 2022 tutakutana hapa kama Mungu atatuweka hai.
Bro kilimo cha ku subsidize pembejeo kila mwaka kwa miaka zaidi ya 50.... plus kinafaidisha wakubwa .. matrekta wamekopeshwa vigogo wa Dar.... Ama tongelee projects kwamba serikali ifungue mashamba makubwa??
Bado kwa ndege zetu tunaifungua dunia..kukuza utalii na soon watu wa DC wanaweza kula mhogo wa mikese, maua, pilipili mboga na matunda kusafirishwa fresh kwenda kuuzwa ulaya..
80% ya wakulima TZ wanazalisha less than cost wanazotumia kulima ikiwamo parents wangu...
I might be wrong thou na labda naweza kujifunza toka kwako... Asante mkuu
 
Baada ya mafanikio makubwa kwenye Uchumi wa Viwanda..
Sasa tupo kwenye Uchumi wa Ndege..
Ni kununua Ndege nyingi kadiri iwezekanavyo..
Ndege zinalipa sana.
Ndege zinamlipa mtukufu malaika toka chato pekee mwenyewe maana kwenye manunuzi wanapiga 10% na sasa wanapiga bilion 13 kifisadi kwa kisingizio cha kwenda Canada, lakini watanzania ndege haziwalipi zaidi ya kugeuka kuwa mzigo wa kuzihudumia kwa pesa zao za kodi z
 
NI kawaida kwa ndege kubadilisha baadhi ya vifaa after muda fulani.... Huu sio ubovu .

Acha ushamba ndege mpya huwa haina ujinga huo, ndege mpya huwa na guarantee miaka kadhaa ya service bure, lakini mtukufu malaika toka chato alinunua vindege magalasha haijapita hata miaka miwili vimeanza kuleta njaa kwa wananchi pesa za walipa kodi bilion 13 zinaibiwa kisanii kwa kisingizio cha kupeleka ndege mitumba Canada ni aibu kwa CCM kuendelea kuwadharau watanzania kuwafanya ni mbumbumbu sana hawajitambui
 
Ni hizi mpya za 2016. Ni ukarabati wakawaida

Huo sio ukarabati wa kawaida bali ni ukarabati wa kifisadi kwani pesa nyingi watakula wajanja wachache huko Canada itakwenda pesa kidogo sana.
 
Hili ni lile Pangaboi ambalo Zitto alitahadharisha kwamba limenunuliwa likiwa used. Jiwe ni mpigaji wa kuogopwa.

Zito anajua picha yote A-Z hizo ndege ni mitumba sana lakini kwa kuwa mnunuzi alinufaika kupitia 10% akaamua kuwaaminisha watanzania ndege ni mpya.
 
Back
Top Bottom