Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Lakn mbona siku ile anapokea airbus ya kwanza alisema mpaka sasa zimeingiza 28billion au mim nilisikia vibaya
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.
Wanaopata faida za ndege ni mtukufu na ukoo wake akina Bashite na wenzake ambao hula 10% kwenye ununuzi wa kila ndege na sasa wanapiga bilion 13 kifisadi kwa kisingizio feki cha kwenda kukarabati ndege canada, ni wizi wa kisayansi CCM ni ile ile na wizi ufujaji wa pesa za umma upo pale pale hakuna unafuu.
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.
Utakuwa unatumiwa na mabeberu (in musibas voice)
 
mkuu sikuzote kila mtu hufanya biashara yenye kumletea faida kwa haraka... umeona faida iliomleteaa kwa haraka? kupitia ubovu wa ndege anawezaa kawaa anapata bilioni 1 na nusu kwa kila ndege itakayoenda kutengenezwa.. hivi nadhani alikua anajisikiaje alipokua waziri wa ujenzi na pia uvuvi kuona watoto wa kikwete wakina ridhiwan wakitamba mtaani na magari na kutanua pesa richmond epa na ufisadi kibao uliofanyika unadhani hata yeye alikua hapendi? alikua anapenda sema alikua hayupo kwa connection hivyo basi anautumia muda huu na yeye kuchukua vyake mapema. maana anajua Tanzania ni shamba la bibi anakuja kwa kisingizio cha uzalendo kumbe ni fisi alievaa ngozi ya mbuzi

Ni kweli huyu kaamua kula mapema kabsa kupitia makinikia, madini wanayokamata Airport, mipakani na ndani ya Nchi yote anachukua mwenyewe kwa mda mfupi kapiga pesa ndefu kuliko kikwete na mkapa ambao waliiba miaka mitano ya mwisho mwisho, Huyu yeye kaamua kupiga miaka mitano ya mwanzo mwanzo mapema kila kona kuna kampuni zake kuanzia ujenzi wa reli, Chato Airport, bomba la mafuta, Mladi wa umeme huko mbugani, flyover na miladi yote mikubwa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite amenunua majumba matatu South Africa pia Dubai na America ana nyumba
 
Utakuwa unatumiwa na mabeberu (in musibas voice)

Le mutuz na Cyprian musiba wamekuwa wakitumia neno Kutumwa na mabeberu eti kama kigezo cha utetezi kwa CCM na viongozi wake ni aibu sana kwani watanzania wengi wamewashitukia sana na hakuna anayemsikiliza Cyprian musiba wote wamempuuza sana
 
Naibu Rais ndugu Bashite na mtukufu malaika toka chato kwa sasa ndiyo viongozi matajiri wakubwa barani Africa
 
kama sisi ni madona kantre kwa nini tunanunua ma ndege used?bora kuwa na ndege moja mpya mbili kuliko kujaza mandege ambayo kila saa yanahitaji service.

Madege ni mitumba used balaa na kibaya zaidi walinunua kwa cash na dalali Bashite alikula 10% kwa niaba ya mtukufu ni ufujaji wa pesa za umma na kama Tanzania ingekuwa na wananchi majasiri leo hii kumgekuw na maandamano kupinga ununuzi madege mabovu ya zamami
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.
Dar es Salaam. The Air Tanzania Company Ltd (ATCL) managed to reach a revenue of Sh4.5 billion per month for the year ending 2017 from Sh700 million it collected the previous year. The national carrier has also succeeded in reducing the loss from Sh14.2 billion from 2016 to Sh4.3 billion in 2017.Aug 13, 2018
Air Tanzania hits Sh4.5bn revenue per month - The Citizen

https://www.thecitizen.co.tz/News/Air-Tanzania-hits-Sh4-5bn-revenue.../index.html

4.5bn kwa mwezi
Wanasiasa wa bongo uwongo ni mtaji wao wakiamini kuwa watz ni mazuzu
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.

Hata mbinguni malaika wanajua kata na kamwe hizo ndege zilizonunuliwa huku wananchi wakilia kila kona ugumu wa maisha, hazitaleta faida maana wazo la kuzinunua ushauri aliutoa shetani kinyume na matakwa ya Mungu.
 
Nachelea kusema umeandika pumba.

Ndege hufanyiwa service kila baada ya mileage fulani regardless kama imeharibika, mpya au used.

Kama gari tu linabadilishwa oil na kufanyiwa check up kila baada ya mileage fulani au muda fulani bila kujali limeharibika, zima, mpya au used
kama sisi ni madona kantre kwa nini tunanunua ma ndege used?bora kuwa na ndege moja mpya mbili kuliko kujaza mandege ambayo kila saa yanahitaji service.
 
Lakn mbona siku ile anapokea airbus ya kwanza alisema mpaka sasa zimeingiza 28billion au mim nilisikia vibaya
Dar es Salaam. The Air Tanzania Company Ltd (ATCL) managed to reach a revenue of Sh4.5 billion per month for the year ending 2017 from Sh700 million it collected the previous year. The national carrier has also succeeded in reducing the loss from Sh14.2 billion from 2016 to Sh4.3 billion in 2017.Aug 13, 2018
Air Tanzania hits Sh4.5bn revenue per month - The Citizen

https://www.thecitizen.co.tz/News/Air-Tanzania-hits-Sh4-5bn-revenue.../index.html

4.5 kwa mwezi na hiyo 28 ni net profit.... achana na wanaojichekesha... maisha magumu bro watu wanahitaji kudangaya ili wafurahi
 
Bombadier Zilinunuliwa Kwa Bilion 74, August 13 Mwaka Jana (2018) Rais Aliliambia Taifa Kuwa Kwa Miaka Miwili Zilizofanya Kazi Zimeingiza 4.5 Bilioni. Leo Zinaenda Kufanya Service Kwa 13.9 Bilioni. Wale Mnaosema Ndege Zinaliingizia Taifa Faida Kubwa, Mko Wapi? Hizo Faida Ni Zipi?

mr mkiki.
Prof. Assad pekee ndio anaweza kuwa mkweli kwenye hili

Jr[emoji769]
 
Nachelea kusema umeandika pumba.

Ndege hufanyiwa service kila baada ya mileage fulani regardless kama imeharibika, mpya au used.

Kama gari tu linabadilishwa oil na kufanyiwa check up kila baada ya mileage fulani au muda fulani bila kujali limeharibika, zima, mpya au used

....lets assume kila baada ya miaka miwili inafanyiwa check up..kila baada ya miaka miwili unaspend >13.9 billions wakati unaingiza billion 4.5..wewe unaona ni sawa???
 
Back
Top Bottom