The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,965
- 13,434
Dawa ni kumchunia au kumuuliza: wewe umenipa kiasi gani? Kama anaona buku mbili michosho kwanini abomu au ni yale yale ya watawala wa kiswahili kuita wafadhili wakoloni wanapopinga nao?
Pata picha:
Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/=
Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!"
Wewe unasemaje hapo?
hapo hajakwambia umpe hela ya kiasi gani!