Sh. 2000/=

Sh. 2000/=

Sasa huyo hajaomba hata kiasi na wala hajaomba bia ngapi na hajaomba umpe sh ngapi...wewe kwa hisia zako zimekutuma umpe elf mbili, bado hajaridhika na hiyo elf mbili uliyompa na anakwambia dharau!!
kwa jinsi mimi nilivyo ningemnyang'anya na hiyo 2000/= km ni kuvunja urafiki sijui ubest basi ndo ingekuwa siku hiyo.
Hawezi kulalamika na wakati hajui mi nimeipataje hiyo hela.
 
Na wewe usije lalamika

Anataka kokrochi tu, alichokupa ndo hicho

Mwanmme kuhudumia

Kongosho ndugu yangu, ngoja nikupe hii picha:

Wewe una sh elf 3 kwa mfano, anakuja mtu anaomba bia tu, sasa kwa vile una elf tatu ukachomoa buku 2 umpe ili akajinunulie zake huko ukabakiwa na buku moja za kukusaidia hapa na pale kwenye shughuli zako, bado huyo mtu anakwambia, "Yaani umenipa elf 2??? hii dharau!" Ingekuwa ni wewe unaombwa ofa ya bia utafanyaje na mfukoni una elf tatu tu?

Nadhan umenipata mtani wangu!!!
 
kwa jinsi mimi nilivyo
ningemnyang'anya na hiyo 2000/= km ni kuvunja urafiki sijui ubest basi
ndo ingekuwa siku hiyo.
Hawezi kulalamika na wakati hajui mi nimeipataje hiyo hela.

Mbona mkali hivyo? Hujui maisha kusaidiana! Kumpa bidada buku mbili inahuu? Na mtoto akiomba hela ya pipi utampa kiasi gani?
 
Ningetamani hii thread Kikwete aione na kuisoma ili ajue maisha yanavyobana huku mtaani hadi bifu na jerous za kijinga zinaibuka.
 
hata hii buku 90

Ndio, si inaanza na buku tisini hiyo? au ni laki tisini? Ila kwa mwanafunzi ni nyingi
Ila wamama wa mtaani sijui

Kongosho ndugu yangu, ngoja nikupe hii picha:

Wewe una sh elf 3 kwa mfano, anakuja mtu anaomba bia tu, sasa kwa vile una elf tatu ukachomoa buku 2 umpe ili akajinunulie zake huko ukabakiwa na buku moja za kukusaidia hapa na pale kwenye shughuli zako, bado huyo mtu anakwambia, "Yaani umenipa elf 2??? hii dharau!" Ingekuwa ni wewe unaombwa ofa ya bia utafanyaje na mfukoni una elf tatu tu?

Nadhan umenipata mtani wangu!!!

Bora useme nitakupa siku nyingine, leo sina
 
Ningetamani hii thread Kikwete aione na kuisoma ili ajue maisha yanavyobana huku mtaani hadi bifu na jerous za kijinga zinaibuka.

Maisha yamepinda ndugu yangu...bia moja kwa wengine hata kuikaribia ni miujiza kwa jinsi mifuko ilivyo mikavu...
 
Maisha yamepinda ndugu yangu...bia moja kwa wengine hata kuikaribia ni miujiza kwa jinsi mifuko ilivyo mikavu...

Umeona eeh maisha yamepinda hadi yanaondoa utamu wa penzi bwana kwa mfano mi nikijamiiana na dia wangu akiwa amefulia naona kama utamu umepungua.
 
Umeona eeh maisha yamepinda hadi yanaondoa utamu wa penzi bwana kwa mfano mi nikijamiiana na dia wangu akiwa amefulia naona kama utamu umepungua.

Hahahaha! Kumbe kwa upande wako pesa zikiongea mifukoni kwenye KUJAMIANA kunakuwa kutamu hivyo?? dah wengine staili na vituko vituko vidogo vidogo vya hapa na pale ndo vinaongeza ladha ya safari ya kwenda mlimani kileleni kule kumwaga mayonase!
 
Back
Top Bottom