Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,366
Zitaenda maabara ipi ambayo si ya wezi?Tuache mawazo hasi. Kweli sampuli imetolewa bulyanhulu analysis imefanyiwa Australia nyumbani kwa wezi bado tunashabikia. Kuweni wapole hawa tunaenda nao taratibu .sampuli zitachukuliwa na zitapelekwa maabara na itakuwa man to man kwenye analysis na mtashuhudia majibu yatakayotoka.