SGR ya Kenya imefanya kazi kwa siku elfu moja tayari

Kinachotia moyo ni kwamba changamoto zinazidi kupungua, yaani 18 trains a day.....
Hizo changamoto zitazidi maana tz tunaimalisha miundombinu yetu wewe subiri mwaka ndiyo huu utajua ujui ,mchina mwenyewe kagundua kabugi kujenga reli ya Kenya sema kinacho msaidia na kumlinda mchina ni mikataba aliyo ingia na government yenu yaani hasara ya sesijiara yenu ni juu ya wakenya Bali faida ni juu ya wachina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa wa mwakani mpaka leo utazidi kutupea kalenda....
komora096 unamkumbuka huyu mdau wa mwakani.
 
Dah, Kusepa ni kuficha tu aibu ila haimaanishi upigaji ndio umekoma, tena Uhuru na Rao watakuwa wamepiga pesa ndefu sana kwenye huu mradi wa Expressway
Ila hili la kukacha sherehe za siku 1000 za mtambo wa chang'aa inamaanisha wameipata msg ya kilio cha upigaji wao for the first time Uhuru kasepa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom