SGR pamejaa dini pendwa?

Wa Zanzibar walituletea mtu tanganyika akaleta uzuni kwenye familia nyingi. Hatuwaamini tena.
kwani hao wengine kuanzia baba yenu aliyewazaa Laanatullahi Nyerere wameleta nini huku Zanzibar , si watu waliuliwa tokea 1964 na kwengine mpka leo hawajulikani walipo na kwa maelfu wamekimbilia nchi za nje
 
Hii ilikua njia ya kuwadhibiti kobazi wasijenge shule Ili wadhibitiwe kupitia shule za serikali, ndiyo maana uhuru hadi 1988 wizara ya elimu ilikua himaya ya kanisa na matokeo ya mitihani ni Siri kama nyeti za mkwe
 
Utakua msabato au Anglican, wakatoliki ni wadini kufuru,wao huangalia dini kila sehemu
 
Islam Dini, Islam ☪️ Nadhifu
Takbiir
 
Eti za kutumia akili na nguvu 😂😂

Jamaa akili hawana, halafu nguvu pia hawana, kazi kula urojo vibarazani tu…
 
Hata kama ni wazanzibar kuna shida gani! Mbona mnakua wabaguzi hivyo! Waarabu wabaya, wazanzibari wabaya, Uislamu mnaupiga vita. Ila wazungu na mayahudi ndio watu wazuri hahaaa aise
Kwenye wizi nako kuna dini Mkuu? Wizi hauna dini usijidanganye. Kama watu wametafutiwa kazi wacha mambo yaende tu. Lakini uadilifu kazini ni sheria na sio dini Mkuu. Hakuna wakati hii nchi imepigwa kama wakati wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia. Wakati wa Nyerere, Mkapa na Pombe haikua hivyo
 
Eti za kutumia akili na nguvu 😂😂

Jamaa akili hawana, halafu nguvu pia hawana, kazi kula urojo vibarazani tu…
Lakini ndio wanao ongoza kwa kulipa kodi na kwa utajiri,

Waangalie Mo Dewji,Bakhresa,GSM na wengine,

Wewe mwenye akili na usiyekula urojo unawazidi nini hao?
 
Kwa kuwa ni watanzania hakuna shida,Cha msingi wasihudumie abiria kwa misingi ya ndugu yake katika Imani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…